Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba akikosea lazima tuseme, mchezaji yoyote akikosea lazima tutasema. Pogba amefanya makosa mengi sana ambayo kuyafumbia macho inahitaji ujasiri wa hali ya juu

Kucheza namba sio yake haiwezi kuwa leseni kwake kupoteza mipira. Tena mahali anapochezeshwa kwa sasa ni nyuma kidogo kwa hiyo hana pressure ya kudhibitiwa kama kule mbele alipokuwa anacheza

Role aliyopewa ni kama ya Pirlo aliyokuwa nayo Juventus. Yeye kinachomshinda ni nini na Pirlo aliwezaje.
 
Litimu LA kis&nge sana hili Mama&, bora washuke daraja tu..
 
Attachments

  • IMG_20190831_163106_368.JPG
    IMG_20190831_163106_368.JPG
    30.6 KB · Views: 24
Na bado..lukaķu atakumbukwa sana..hamna recognized striker pale...
Afadhali january wamchukue ibrahimovic awaokoe japo kwa miezi 5...
Hahahaaaaaaa
Harry Maguire......

Harry maguire anahusika na nini hapa umetia wivu

Kwa upande wa lukaku siku ya kwanza tu nilijua kocha kabugi huwez kujenga timu bila wajuz angalia klopp alivyoanza na liverpool alichomoa wazoefu wabovu taratibu huyu sosha dirisha moja kafukuza wazoef si chini ya wa 5

Hilo jambo lipo arsenal kama la sosha nako kule hamma jipya yamejaa mazeee ya bure tu
 
Hivi Pogba anafanya makusudi au ndio kiwango chake?

Binafsi sijawahi kuamini kama Pogba ni mchezaji mzuuuri kama anavyopambwa na baadhi ya wapenda soka.
Kama akina Ronaldo na Messi ni 90‰ ya uchezaji

Akina Hazard na Neymar ni 80% ya uchezaji

Akina De Bruyne, Silva Bernardo, Sterling, Mane ni 75%

Pogba ni 60%

Ni average player anayepambwa na visigino viwili vitatu anavyopiga uwanjani
 
Harry maguire anahusika na nini hapa umetia wivu

Kwa upande wa lukaku siku ya kwanza tu nilijua kocha kabugi huwez kujenga timu bila wajuz angalia klopp alivyoanza na liverpool alichomoa wazoefu wabovu taratibu huyu sosha dirisha moja kafukuza wazoef si chini ya wa 5

Hilo jambo lipo arsenal kama la sosha nako kule hamma jipya yamejaa mazeee ya bure tu
Kwani nimesemaje kuhusu maguire? Pole, najua timu imekuchanganya...
 
Back
Top Bottom