Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Wanamuacha striker ambaye ana uhakika wa kufika goal hata 20(bila penalty) kwa msimu😂😂 unabakiwa na mtu hata goal 15 (+ penalty)hawezi fikisha.
Rashford sio mshambuliaji wa kutegemea mkuu,mimi nilikuwa nadhani labda Ole ameuza Lukaku bila kusajili akimtegemea hata Sanchez, kumbe tegemeo lake ni Martial na Rashford 😂😂😂
Huyo Rashford msimu huu anaweza kuzidiwa magoli hata na dogo James, Rashford amekuzwa sana inafika muda anajiona kama Ronaldo vile. Ni mchezaji wa kawaida sana. Hana uhakika wa namba katika timu nyingi sana katika EPL. Ila kinachombaba ni uingereza wake.
Acha sindano iwaingie


mimi nazani saivi man u ni ishindanie tu proud ata ibaki Top 6.