Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah man utd tuna maneno,sioni watu wakiongelea mapungufu yetu eneo la kati. Hii chelshit sio kikosi cha kwanza kwa nijuavyo mimi.
Bado tulihitaji kuwa na Bruno. Daemusin kama niaminivyo mimi,kipimo chetu kamili ni mbweha.
GGMU
Ukiangalia kipindi Cha Fergie sio lazima uwe na kikosi Bora kuchukua ubingwa, just tusipoteze mechi kizembe na watoto wadogo. Hata hao wakubwa wakitufunga au kugawana point tutarank juu.
 
Niliwaambia tuko vizuri ila mkaona maneno yangu yanasadifu Jina langu. Kwa kweli tumejitahidi mno natamani hii morali ibaki kwa wachezaji hivi hivi waendelee kua na spirit ya namna hii kila siku. Timu ipo vizuri ila bado hatuna creative midfielder wa kusaidiana na POGBOOM. Bruno anahitajika bado January. We are united no one can stop us mategemeo kwenye game kama hii ni kuchukua point moja ila tumepata 2 extra points so today was a good day. GGMU Dream the impossible.
 
Dah man utd tuna maneno,sioni watu wakiongelea mapungufu yetu eneo la kati. Hii chelshit sio kikosi cha kwanza kwa nijuavyo mimi.
Bado tulihitaji kuwa na Bruno. Daemusin kama niaminivyo mimi,kipimo chetu kamili ni mbweha.
GGMU
Mapungufu yapo lakini si kivile. Tuache tabia za Waingereza za kukosoakosoa tu bila sababu
 
Nataman tufike December kwa mwendo huu ili tuwatambie haters
tumblr_m0cdbrqqfb1rqfhi2o1_250-gif.1176883.gif
 
Back
Top Bottom