√Pogba +McTominay= Shit result

√Rashford ni kama Welbeck tu..hakupi guarantee yoyote ya kuweza hata kufunga goli 15+ kwa msimu..

√Daniel James=Exciting player..kamimina krosi kibao,hakuna hata mtu wa kugusa mpira uingie nyavuni

√Lindelof mipira ya juu ni wa ovyo sana..sijui itakuwaje kama hataweza kuimprove kwenye hilo eneo

√Perreira+Mata=Hakuna chochote cha maana wanachoweza kuoffer kwenye hii timu ndo maana mimi watu wakitaka Lingard awekwe benchi halafu Perreira acheze huwa hata siwaelewi..Wote wanafanana,average players

Matatizo yetu kwa upande wangu yapo sehemu zifuatazo;

√Straika-Tungekuwa na straika mkali tusingekuwa tunateseka namna ile..Rashford kafanya nini ndani ya zile dakika 90??

√Kiungo-Hiki kiungo cha McTominay na Pogba naona kama hakifanyi kazi vizuri..Pogba pia madoido yake yaleyale..kuna muda ndani ya dakika mbili amepoteza mpira mara tatu..

Tukiachana na hayo sioni Ubovu wa hii timu,Ilibidi tununue straiker wa kueleweka,na replacement ya Herrera bila kusahau No 10 mwenye kabila kama ya Erisken
 
Hongera SUTON TEAM ANGU YA KANISA.

Kufungwa na mashetwaini mashoga ni ufala kesho church bila kerere

Southampton hatuna tofauti na ruvu shooting wana papaso

tumeyapapasa makalio a olenasha na degea

asaivi tunawapapasa mashabiki

mbwa ni mbwa Tu pogba hanatofauti na KASEKE

NAMUONA OLE AMESHIKACHUPI ANASEMA ANAWASHWA
 
Ni kweli mkuu, mimi sielewi mpaka leo kwanini mlimuuza Lukaku bila kuleta forward ya sampuli ya Icard. Rashford hawezi kufikisha goli 15 msimu mzima na ushindi ni magoli yatatoka wapi?
 
hauoni ubovu alafu unataka anunuliwe striker na namba kumi Una akili timamu kwewe wewe mazafantabengai?
 
Hongera SUTON TEAM ANGU YA KANISA.

Kufungwa na mashetwaini mashoga ni ufala kesho church bila kerere

Southampton hatuna tofauti na ruvu shooting wana papaso

tumeyapapasa makalio a olenasha na degea

asaivi tunawapapasa mashabiki

mbwa ni mbwa Tu pogba hanatofauti na KASEKE

NAMUONA OLE AMESHIKACHUPI ANASEMA ANAWASHWA
Dah mkuu maneno makali yanini ,
 
Nani wa kumfananisha Tammy na Rashid? Bado moja asepe na mpira wake..

Kila la kheri Chelsea
Utashinda kwa waliopanda daraja tu,

Niliwaambia hivo, sijui kwann unasahau , nilikwambia utapata point 6 kwa Norwich & shefflied bas,,astonvilla atakuweka ,

Leo ndio mwisho wako kusherehekea ,baada ya mapumziko ,utarud kwenye vipigo
 
Ni kweli mkuu, mimi sielewi mpaka leo kwanini mlimuuza Lukaku bila kuleta forward ya sampuli ya Icard. Rashford hawezi kufikisha goli 15 msimu mzima na ushindi ni magoli yatatoka wapi?
Rashford sio mshambuliaji wa kutegemea mkuu,mimi nilikuwa nadhani labda Ole ameuza Lukaku bila kusajili akimtegemea hata Sanchez, kumbe tegemeo lake ni Martial na Rashford 😂😂😂

Huyo Rashford msimu huu anaweza kuzidiwa magoli hata na dogo James, Rashford amekuzwa sana inafika muda anajiona kama Ronaldo vile. Ni mchezaji wa kawaida sana. Hana uhakika wa namba katika timu nyingi sana katika EPL. Ila kinachombaba ni uingereza wake.
 
Utashinda kwa waliopanda daraja tu,

Niliwaambia hivo, sijui kwann unasahau , nilikwambia utapata point 6 kwa Norwich & shefflied bas,,astonvilla atakuweka ,

Leo ndio mwisho wako kusherehekea ,baada ya mapumziko ,utarud kwenye vipigo
Aston Villa si naye kapanda daraja(tena kwa kupitia playoff alipomchapa Lampard na Derby County yake?). Kwa kumbukumbu zangu, Norwich City aliongoza akafuatiwa na Sheffield United. Sasa kama kawapiga namba moja na namba Mbili wa championship msimu uliopita, atadhindwaje kumpiga aliyetinga ligi kuu kwa mlango wa playoff? Kumbuka hata namba tatu Aston Villa hakuichukua, ilibebwa na Leeds United.
 
Back
Top Bottom