Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,383
- 12,577
HahahahahahahahahMpaka sasa Ole Soksi ana 4/5 ya kufukuza kazi Next season kabla ya Christmas
HahahahahahahahahMpaka sasa Ole Soksi ana 4/5 ya kufukuza kazi Next season kabla ya Christmas
Harry maguire anahusika na nini hapa umetia wivu
Kwa upande wa lukaku siku ya kwanza tu nilijua kocha kabugi huwez kujenga timu bila wajuz angalia klopp alivyoanza na liverpool alichomoa wazoefu wabovu taratibu huyu sosha dirisha moja kafukuza wazoef si chini ya wa 5
Hilo jambo lipo arsenal kama la sosha nako kule hamma jipya yamejaa mazeee ya bure tu
Uyu shabiki mwenzetu huwa ni kigeu geu sana[emoji3][emoji3]
Muuzeni muone shughuļi
Hii timu kwa kulaumu wachezaji mnaongoza dunia nzima, kaondoka lukaku na sanchez lawama zote kwa Lingard na pogba, ngoja pogba aondoke tuone mtahamishia kwa nani lawama zenu, hahaha!
Maandiko yapi hayo tukumbushe tafadhali Nabii Tito [emoji16]Bado miezi 3 maandiko yangu yatimie.
Ishatoka mzee...Aiseeee hii game ikitoka draw hali itachafuka Carrington.
Uyu shabiki mwenzetu huwa ni kigeu geu sana[emoji3][emoji3]
Ila Mourinho alikuwa ana hao quality players?(natania tu) [emoji39]Mkuu kumbuka mwanzo ulikuwa unapigania overhaul ya squad nzima sasa imefanyika malalamiko ya nini ?
Ole ni Mwalimu Mzuri tu kinachomwangusha ni quality of players tu
Upo ndugu Ollachuga Oc naona Leo unafurahia maana mnaenda kumtandika yule kibonde ,upate nguvu yakuja kuleta vurugu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usikariri maisha sio kila "bahati" ni nwanamkeWatahamishia kwako Mkuu, nawe si mchezaji au hujioni hapo kwenye pp yako [emoji3]
Malalmiko FC
Nilikuwa nakutania tu ili kuchangamsha genge Mzee Baba [emoji125][emoji125]Usikariri maisha sio kila "bahati" ni nwanamke
Lkn Ollachuga tunajua rashid hafiki goli 15,Nilisema uyu Rashid akifika goli 15 EPL tu bas sita comment chochote kwenye huu Uzi hadi apo msimu mpya utakapo anza.
Naendelea kukazia.
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Eti jicho la 3.Yale yale ya Lingard unaambiwa ni hatari sana akiwa hana mpira. Man hata aje kocha gani bado mtacheza the same, tatizo sio kocha.Tuwe wakweli tuacheni ushabiki,hata kama hatuujui Moira,hivi ole anategemea nini kutoka kwa rashford?
Watakuja watu watakwambia ukimuangalia kwa jicho la 3 anaujua,sasa kila mchezaji wa man utd lazima tumuangalie kwa jicho la 3 tutambue kama anajua ama la wakati wapinzani kwa macho 2 tu unaona wanakusudia nini.
Watu wa betting bhanaLitimu LA kis&nge sana hili Mama&, bora washuke daraja tu..