Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Kuna watu kaenda kuwatesaSi homework tu... Hata hajaoga aisee
Kuna watu kaenda kuwatesaSi homework tu... Hata hajaoga aisee
radika soma hio. Pia nikukumbushe Pogba ana two assists, Perreira ana assist moja na ndio alipora mpira akampa Pogba aliepiga killer pass to assist Rashford
Eti dogo wa championship hawezi kukinukisha EPLDaudi Jemusi...?
Mkuu Yodoki II hata sisi tunayaongelea hayo hayo mapungufu madogo. Kumbuka ndani ya dakika 15 za mwanzo wamegonga mwamba mara mbili!! Hayo yalisababishwa na kupoteza mipira mirahisi kati kati ya dimbaMapungufu yapo lakini si kivile. Tuache tabia za Waingereza za kukosoakosoa tu bila sababu













hakika kijana ana moto
wa hatrBado greenwood na gomesKuna watu kaenda kuwatesa

Wale walikuwa wanalalamika kuwa Kocha atawakimbiza tu wachezaji mazoezini Mpo wapi? ...Manchester United wachezaji wetu wapo fit sana nadhan tumeonada jinsi wachezaji walivyopambana bila kuchoka pia hii pressing Imesaidia sana kubadili mchezo wetu.... We are Manchester united....see you at the top
Sema Leo mmekutana na mgonjwa dah ,Ila kiungo cha leo bahati ilikuwa yetu hakukuwa na muunganiko mzur eneo la kiungo
Eti dogo wa championship hawezi kukinukisha EPL
Huyu mtoto japo ni mapema sana kusema lakini ni nyota mwingine wa kutegemewa siku zijazo. | |
|
Sema Leo mmekutana na mgonjwa dah ,
Kipimo kizuri mech yenu na wolves , leo haikuwa kipimo kizuri ,Chelsea msimu huu hata hao watabir wanaoipa nafas top 4 sijui wanavuta bangi ya wapi
Straiker jirud , Abraham beki Zuma & Christensen sub tomori ,
Man of the match ilitakiwa apewe Ashley young ..kutokuwepo kwake leo kumefanya tuondoke na ushindi
Wale akina Jones na nduguye Smalling sijui wataenda wapi maskini.😂 | |
Dah kumbe ww dogo kabisa ,aisee 2007 upo drs la 5? Wakati mm 2007 nipo form 2 ,nisalimie basNilivyoshabikia nilionekana Chizi!Ninavyoipenda Man U acha tu!.
Wakuu nilianza kushabikia Man U 2007 just nikiwa Class
Enzi za utotoni! Nilianza kucheki mechi 2009 dah!
Pamoja sana United fans