Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Hapana,Mkuu unataka uniambie hiyo ndio tafsiri ya speech ya the king au?
Kwanini Umefikia hitimisho hilo..?
Au Nukuu Ya I love Football...??
Hapana,Mkuu unataka uniambie hiyo ndio tafsiri ya speech ya the king au?
Nahisi Kama James ndio atacheza kushoto maana yupo comfortable kule, na pereira na Mata kucheza 10 na kulia
Unamwepukaje sasa ?Hatuwezi kutumia 3-5-2 kuepuka young?
Wanaomponda lingard leo tutajua.
Kikosi cha Nguvu.
Tatizo Young uchochoro.
Mwenye namba yake amechukua,hakuna mashaka. Lingard apumzike. |
JameeeeeeeeeeesssLeo ubingwa mapeeema sana...yuke kilaza Martial hayupo. Na akafie huko huko.View attachment 1194219


