√Mnaomtaka Sanchez abaki sababu zenu ni zipi??
√Alikuwepo hapa kwa muda, amefanya nini??
√Martial kaumia,sasa ni bora tumpe nafasi Greenwood ambaye analeta matumaini kuliko huyu Sanchez..sijui ni kitu gani kimempata huyu jamaa
Hii timu ni ya kujengwa na haiwezi kujengwa over a night..lazima tujaribu kusafisha deadwoods taratibu..hata kama Ole hatafanikiwa basi kocha ajae itakuwa kazi rahisi kwake..Japo anaenda kwa mkopo lakini mimi naona sawa tu
No Sanchez no worry..maana hata akiwepo hakuna anachoongeza zaidi ya kutukasirisha tu..
Hayo ni maoni yangu..