Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
liva ndo kama mijusi juani kwa sasa....kujianika anika tu tuwajueDah asee wewe bwana. Angalia wanaovamiaga nyuzi za wenzao ni nani? Kama sio Man U na Arsenal
mkuu inaonekana wewe ni mgeni katika huu uzi?? mbona unayoongea wewe ndio yanayojadiliwa humu siku zotetimu inabid ipigwe ili tujue tuna matatizo kibao leo naomba ata bahati uwe upande wa barca watufunge kisawasawa
Huwezi kuwa mshindani na kikosi na wachezaji wapuuzi kama wetu
Eti huyu young ni wa kumuongezea mkataba mpya kweli??, martial??? Eyi rashford nae anadai mshahara mkubwa shubamiit ungeseungese tu wanafsnya uwanjani
Sasa unataka ufananishe Ajax na Manure ndugu yangu, au ndo unataka tuongee usiku huuHivi inakuwaje Ajax wanacheza mpira mzuri kuliko Man U!?
Utaskia wanasema Herrera ni zaidi ya HazardTatizo mkishinda game mbili tu haya yote mnayasahau na hao hao wachezaji mnaanza kuwasifu
Sometimes ubora wa kipa yeyote duniani hutegemea beki mahiri Chifu
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU VIPI?
Wanachekaje Mkuu?Hawa watangazaji wa canal+ wanacheka kinafki sana kama vile sio wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Waingereza 6 na mzigo Martial.Wazee nadhani lukaku angeanza. Ila poa ngoja tuoneView attachment 1073704
Leo dunia itasimama, nadhani kitendo cha Barcelona watu hawataamini pamoja na ubovu wa timu ila leo Barca hachomoki, GG Man United!
Come on come on...
Lukaku please send us to semi
God first
it's not over until it's over
come on United
GGMU
2-3 mkuu, hutaamini
Mbwa ukimjua jina hata hakusumbui
Kama zile za lubumbashi
Hahaha umeandika kwa hisia sana.