Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,024
- 27,365
Mourinho kafika mwisho wake, kama hawezi kuwafunga Sevilla atamfunga nani?
Kiukweli kwa manufaa ya pande zote, Man Utd na Mourinho inabidi mwisho wa msimu mkataba wao uvunjwe
Ni ngumu sana kwa uchezaji huu Man Utd chini ya Mourinho, hii timu kuja ku dominate ligi achana na Champions League; huko ni mbali sana
Kuabzia sasa naunga mkono kufukuzwa jwa Mou
Leo lawama zangu zote kwa kocha tumepoteza hii game kwa ujinga wake hakukuwa na sababu ya kumuingiza pogba sana sana alipaswa atoke Sanchez aingie martial/mata
KUANZIA SASA NAUNGA MKONO MOU KUFUKUZWA.
Shida ilianzia dakika ya 60 baada tu ya Sub ya kwanza Pogba for Fellaini, kila kitu kilivurugika hapa.
Mourinho katutoa UEFA, kuanzia kwenye kupanga kikosi mpaka kwenye uchezaji.
Huyu kocha wetu bure kabisa,,,anyway amevuna alichopanda
Hawahawa Utd Fans subiri mechi na Man City washinde uje uzisikie kauli zao juu ya Mourinho. Oooh baki na statistics zako sisi tunaangalia ubao, mara ooh dogo kamuweka mtu mfukoni Mourinho anainua makinda, mara ooh bingwa wa mbinu za ushindi Nk. Yaani huwa hamueleweki nyie.Kama hujaona kosa la mourinho hustahili kuoneshwa kosa la mourinho katika mechi ya Leo
tunatakiwa tutangulie kupiga goli,dk mbaya hizi
Tunatolewa kwa ujinga wa Mourinho
Tushapigwa..Kocha mpumbavu huyu unamtoa Fellaini alikuwa anazunguka uwanja wote unaingiza Pogba!!! Ona anaharibu zaidi anamuingiza Martial huyu mvivu mkubwa...ngoja nikalale
Mourinho Mourinho Jinga
Mourinho Mourinho Jinga
Mourinho Mourinho Jinga
Kiukweli kwa manufaa ya pande zote, Man Utd na Mourinho inabidi mwisho wa msimu mkataba wao uvunjwe
Ni ngumu sana kwa uchezaji huu Man Utd chini ya Mourinho, hii timu kuja ku dominate ligi achana na Champions League; huko ni mbali sana
Huyu kocha wetu bure kabisa,,,anyway amevuna alichopanda
MAN U FOREVER KWA SABAB NAJUA JOSE ATAONDOKA TU IPO SIKU
Sasa game vs Man City ina nini? Tufungwe,tushinde yale yale. City ni bingwa Man utd atakuwa wa 2,3 au 4.Hawahawa Utd Fans subiri mechi na Man City washinde uje uzisikie kauli zao juu ya Mourinho. Oooh baki na statistics zako sisi tunaangalia ubao, mara ooh dogo kamuweka mtu mfukoni Mourinho anainua makinda, mara ooh bingwa wa mbinu za ushindi Nk. Yaani huwa hamueleweki nyie.
Mou toka yupo Chelsea mpira wake ukaanza kueleweka na ndipo alipoanza kuprove failure. wachezaji mnao kocha hamuna, mna msimamizi wa mazoezi. Mimi nasubiri game yenu na City nione kitakachotokea kwa Mou na reaction yenu juu yake.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]*Man U Kama Mkurya Tuu Akiwa Kijijini Anajikuta Mbiishii.*
Akija *Mjini Anauza Mayai*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenyewe leo hawataki kuamka.
Hahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] fergieSub ya Pogba!!!!! Ferguson hajakosea
Tupo ndugu karibu sana na ahsante kuja kutujulia hali na kutufariji.Wenyewe leo hawataki kuamka.
Wenyewe leo hawataki kuamka.
Jiandae kwenda THE HAGUE kwa mauaji ya halaiki ya jana mkuu,maana ulikusudia.Leo tunaua tena...
Nyuma=Valencia,Smalling,Baily, Young
Hapa kati=Mata, Fellaini
Pale mbele=Rashforrrrd,Sanchez,Lingard
Mwisho kabisa=Lukakuuuu
Hii kazi aliiweza sheikh yahaya tunatabiri man united 3-1 sevilla
Acha na wewe kwani mtu akisifiwa kwamba yupo sahihi muda wote mbona kule unampondaga klopp baadae unakula maneno yako kuna post kule ulimponda can baadae ukaanza kumsifu hamna kocha ambae hakosolewiHazizidi Siku NNE zilizopita hapahapa Mulimmwagia Misifa Mourinho Kuwa Ni Bonge la Kocha Anaejuwa Kutafuta Ushindi Kwa Mbinu Tofauti na Mukadai Anapotaka Ushindi Huwa Hashindwi Kuupata.
Leo Hii Kawa Mjinga! Mara aondoke! Hivi Ni Kweli Tokea Awali Muliamini Kuwa Mourinho Anaweza Kuwapa Furaha yenye Kuendelea?
TENA KUNA MADOGO HAPA ETI WANADAI MOURINHO AMEWARUDISHIA TIMU KAMA YA SIR FERGUSON!!!! HUKI NI KUMDHALILISHA BABU KWA KUMFANANISHA NA MOURINHO.
Mourinho ana mbinu za kumkamia Chelsea na Liverpool tu basi ambazo akishinda Mechi Hizi Mbili Ndiyo Munamuona Ni Mtu Mjanja Sana.