Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni kweli ilichukua misimu mingi ila kulikuwa na nidhamu ya usajili pamoja na malengo yanayo onekana.

Je malengo yenu ni yapi msimu huu? Kushiriki au kushinda?
Acha mambo ya ajabu bhana timu yenye malengo inafunga magoli ya set piece tu. Ndio maana tuliwachakaza na hata EUFA pia mlipigwa na legue mlichukua tu kwa uzembe wa man city la sivyo mngeondoka patupu tu. Hivyo msijisifu sana mkadhani mmekamilika.
 
Mkuu wewe timi gani kwani maan msimu uliopita Carrick kawaparaza big six wote na kikosi kile na alichukua point nyingi kulikobkocha yoyoye EPL maana yake tungefukuza Amorim mapema huenda tungebeba ubingwa, mpira sio maneno ni data.
Man utd mna mashabiki vilaza sana km huyu..
Kwahiyo hesabu zako zinakwambia km Amorim angefukuzwa mapema mngechukua ubingwa au sio?

Serious kabisa? From your conscious!? 😂
 
Acha mambo ya ajabu bhana timu yenye malengo inafunga magoli ya set piece tu. Ndio maana tuliwachakaza na hata EUFA pia mlipigwa na legue mlichukua tu kwa uzembe wa man city la sivyo mngeondoka patupu tu. Hivyo msijisifu sana mkadhani mmekamilika.
Kwa kofupi malengo yetu yalikuwa kuchukua ndoo ndiyo tukaibeba. Sijui unashabikia nini lakini mara ya mwisho kucheki goli ni goli hakuna nusu goli.

Ni kweli mlituchakaza sikatai and thats football.
Uzembe wa mancity ( kwanini sio uzembe wenu? au chelsea?

Basi kaka nishajua lengo lako.

Yalikuwa mabishano ya kujenga uelewa kama unaenda mwenye banter kila la kheri kaka.

Ila kumbuka kikosi huna mashindano ni siku 3 kupumzika siku 4. Kati ya siku saba. Kila la kheri.
 
Man utd mna mashabiki vilaza sana km huyu..
Kwahiyo hesabu zako zinakwambia km Amorim angefukuzwa mapema mngechukua ubingwa au sio?

Serious kabisa? From your conscious!? 😂
Ana nafasi ya kujifunza na kuacha mihemko. Dunia nzima mashabiki wanalalamika hakuna sajili lakini yeye anaona poa .

Nakumbuka kipindi arsenal hayuko Uefa wala Europa (artetas 1st full) ,kabla ya season nilikuwa na matumaini ya kubeba ndoo nikiamini kwamba kutakuwa na muda mwingi wa kupumzika kwa wachezaji. Ila i was humbled.

EPL ngumu tuache masihara. Unatakiwa uwe fully fit kwa 90 min. Na kwa sasa hakuna kujiangusha yangu macho.
 
Man utd mna mashabiki vilaza sana km huyu..
Kwahiyo hesabu zako zinakwambia km Amorim angefukuzwa mapema mngechukua ubingwa au sio?

Serious kabisa? From your conscious!? 😂
Tumia basi akili yako vizuri, toka Carrick achukue timu kuna kocha yeyote aliyemzidi point EPL? Sasa hiyo ishara yake nini?
 
So kwa akili yako unaamini angeanza msimu angechukua ubingwa, si ndio unachotaka kusema?
 
Mashabiki wenzangu tuache lawama. Baleba ni premier league proven huwezi mfananisha na Kone. Wachezaji wengi kutoka Italy wamekuwa wakiflop premier mfano Damian, Zerzkee, Pogba, Hodjlund na wengine wengi.

Baleba ndoto yake ni kucheza utd na inawezekana hakucheza kwa moyo baada ya club yake kumbania kuja utd.
Ni kweli ameprove PL lakini shida ya baleba siyo kiwango, shida aina ya injury aliyonayo. Baleba anaweza asiwe na muendelezo wa fitness kwasababu ya majeraha, na hii itachangia sana kushusha kiwango chake. Mfano angalia De light na mazrawi, walikuwa na unjury record mbaya na kweli wamekuja utd tunaona kinachoendelea, siyo wachezaji wabaya ila hawatupi muendelezo wa mechi.

Nimesema kone kwasababu, kwanza siyo wachezaji wote waliosajiliwa kutoka Serie A walifeli, correction pogba hakudrop, ila overall perfomance ya timu ilikuwa mbovu na jinsi pogba alivyokuwa anatumiwa uwanjani, kone naye ameshaprove kwenye kila kitu, angsajiliwa utd angefanikiwa tu kwa muundo wa timu wa sasa.

Anyway hata mimi naomba majeraha yasimuandame huko Utd.
 
Sikatai mafanikio ya msimu jana, na yasifanye upofu.

Kulikuwa na game ngapi kwa week ?Ilikuwa weekend mpaka weekend. Recovery time ilikuwepo. Msimu huu ni tofauti kaka.

kumbuka Msimu huu ni bandika bandua.
My point is ili kuchallange epl lazima uwe na squad depth mzee. Labda kama unataka draw za kutosha.

Mimi Gunners mkuu.
Yeah ni kweli, kuna mechi unatakiwa upumzishe baadhi ya watu muhimu kwaajili ya kuwatumia kwenye mechi muhimu. Mfano aseno kuna watu wakikosekana hata kwenye mechi za kawaida inakuwa shida. Gabrieli,saliba,rice,odegard, eze(hawa wakiwa nje aseno lazima atastrago kupata matokeo)

Manchester sasa hivi wana cunha(rashford),mbeumo(Sesko)Amad(Lacey), Bruno(Zirkzee), Shida ya manchester miaka yote CM,Dm now kuna Baleba(Santos), Tilemans(mainoo) kuna hawa akina fletcher wanaweza kucheza carabao.

Shida ya sasa man utd ni backs, Left back, LCB Martinez,Magure,De light hizi zote injury, wakati wanamtengeneza heaven watafute LB na LCB mmoja.

Aseno wametuzidi kwenye beki tu na attacking line yetu zile beki zinafunguka vizuri tu😂
 
Uko sahihi ila hutacheza na Arsenal kila siku kaka?
Is arsenal a benchmark to your success?
 
Yeah ni kweli, kuna mechi unatakiwa upumzishe baadhi ya watu muhimu kwaajili ya kuwatumia kwenye mechi muhimu. Mfano aseno kuna watu wakikosekana hata kwenye mechi za kawaida inakuwa shida. Gabrieli,saliba,rice,odegard, eze(hawa wakiwa nje aseno lazima atastrago kupata matokeo)

Manchester sasa hivi wana cunha(rashford),mbeumo(Sesko)Amad(Lacey), Bruno(Zirkzee), Shida ya manchester miaka yote CM,Dm now kuna Baleba(Santos), Tilemans(mainoo) kuna hawa akina fletcher wanaweza kucheza carabao.

Shida ya sasa man utd ni backs, Left back, LCB Martinez,Magure,De light hizi zote injury, wakati wanamtengeneza heaven watafute LB na LCB mmoja.

Aseno wametuzidi kwenye beki tu na attacking line yetu zile beki zinafunguka vizuri tu😂
Hivi Deogi Leon sio LB?
 
Tumia basi akili yako vizuri, toka Carrick achukue timu kuna kocha yeyote aliyemzidi point EPL? Sasa hiyo ishara yake nini?
Timu watu walikua wanakaa wiki mbili mechi moja

Tunaenda sasa kwenye wiki moja mechi ndo mwanaume atajulikana ni nani
 
Beki ya kushoto, beki ya kulia, shambuliaji moja then tunaondoka.
 
Sikia hapa
 
Attachments

  • the TRUTH about signing Carlos Baleba... _manunited _manchesterunited _baleba _transfer _footb...mp4
    10.1 MB
Ni kweli ameprove PL lakini shida ya baleba siyo kiwango, shida aina ya injury aliyonayo. Baleba anaweza asiwe na muendelezo wa fitness kwasababu ya majeraha, na hii itachangia sana kushusha kiwango chake. Mfano angalia De light na mazrawi, walikuwa na unjury record mbaya na kweli wamekuja utd tunaona kinachoendelea, siyo wachezaji wabaya ila hawatupi muendelezo wa mechi.

Nimesema kone kwasababu, kwanza siyo wachezaji wote waliosajiliwa kutoka Serie A walifeli, correction pogba hakudrop, ila overall perfomance ya timu ilikuwa mbovu na jinsi pogba alivyokuwa anatumiwa uwanjani, kone naye ameshaprove kwenye kila kitu, angsajiliwa utd angefanikiwa tu kwa muundo wa timu wa sasa.

Anyway hata mimi naomba majeraha yasimuandame huko Utd.
Hivi mkuu, unaweza kutuwekea hizo records za kuhatarisha au kushtua sana alizopata Baleba kwenye soka ?

Kwa ninavyojua mimi, siku nyingi kabisa amekuwa bench sababu ya injury ni approximately siku 30 hivi.
 
Back
Top Bottom