HahahahahaHamuwezi kukosa magoli kumi mkashinda
Kwani haujaanza?.Kwa gap hili katika Christmas, City ni ngumu kukutwa 13 points? City yeye anashusha mvua tu. Ngoja tuone mzunguko wa pili.
Ndizo lawama zenu zilizobaki hiziDamn.... kuna wachezaji sijui kama wanajua wanachezea timu inayoitwa Manchester United
Fukuza wote kuanza upya si ujingaNilijua tu chelsea akipotea na mourinho anapotea hapa tukutane mwakani timu kiuhalisia waonatakiwa kuivaa jezi ni wawili tu de gea na matic wengine wanacheza kama wanalazimishwa tu
Rashford kavimba kichwa sana viingereza shida sana
Carabao mneshatoka hilo kwapa utanyanyulia wapi?Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
Hahaaa huo uchochezi mimi siutaki.Ahahaaaaaaaaaaah...
Mchezaji mmoja wa Man Utd,muda mwingi anautumia kwenda saloon,kuliko mazoezini..!
Guess who..!
Eti hapa alisimama akarudi nyuma chance ya wazi hii kabisa.Huyu anachezea MUFC kibahati tu.. Atolewe kwa mkopo akakue kwanza. View attachment 657925
Ndo wanachopenda kwa sasaHivi TANESCO bila kuwaharibia watu weekend huwa hamridhiki....
You hoped not and that was the truthI hope not.
Msimu uliopita timu ilitoa suluhu nyingi mno ambazo kama sio uzembe na kupoteza nafasi za wazi zilikuwa ni ushindi..Eti hapa alisimama akarudi nyuma chance ya wazi hii kabisa.
Unafika golini unaanza kurembaMsimu uliopita timu ilitoa suluhu nyingi mno ambazo kama sio uzembe na kupoteza nafasi za wazi zilikuwa ni ushindi..
Tatizo pia limeendelea kubaki vilevile ni kama wachezaji wamekutana tu kutoka mtaani na kuanza kucheza. Hamna umoja kitimu kabisa.
Kwapa lipi hilo??????Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
Usijifiche mgongoni mwa arsenal!!!!!Mou na wachezaji wake wote hovyo kabisa hataki kubadilika mfumo wa kupaki basi siku hizi haututaki au wachezaji waliopo hawauwezi, ndo mana kila tukipaki tunafungwa kashidwa arsenal tu sababu ni kibonde sana nae wahedi.
Na hio UEFA tutoke tu maana tunaweza kutoka na aibu ya karne huko.


Safi mkuu hujakosea![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna rashford kuna lingard. Watoto kilasiku hawapati game maturity
Lingard ni mzuri kwa counters. But tukiwa tuna posses hawez kucheza.
Lingard alitakiwa acheze swansea huko.
Is an average player.