Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu belo nakubaliona na ww vizur ila leo kocha wetu kachemka hata kukemea wachezaj hamna martial limekosa goli linacheka daaaa roy kean angelala nae mbele leo ungesikika mlio kwenye vyumba vya kibadilishia nguo rashford toka ile mech ya city anajiona star sema lingard siwez kumlaum anajitahid sana pasipotokea mtu wa kumsimamia rashford itakuwa story kapoteza nafas tatu za wazi peke yake ingekuwa lukaku ungeona mayoe yake.
Many players don't deserve to play for United.Huwa unamuona Bailly akiwa uwanjani hata akifanya makosa unaona anavyosikitika.Angalia interview ya Mourinho baada ya mechi
 
Daaah hawa jamaa wangejua jinsi tunavoumia mashabiki wasingefanya upuuzi huu,, nitazid wakumbuka sir alex farguson, edwin van de sir langoni rio ferdinand, nemanja vidic , patrice evra , raphael da silva , michael carrick, paulo shule, ryan giggs , ronaldo , carlos tevez, wayne rooney, louis saha dah jamaa walikua kweli watu wa kazi ,,, mourinho anaharibu pia timu yetu aende tu aje hata giggs unajua soka ni molare wale madogo akina rashford lingard yan pana takataka nying sna pale man u akina darmian akina smalling mikhi ni kuuza tu team haina spirit kabisaaaaaaaa
 
Mi naona wachezaji na kocha pia kuna sehemu wanayumba..Rashford,na Martial,herrera naona wote ni overated players,hawana consistency kabisa wote wanaperform vizuri mara moja kwa mwezi,mechi nyingine wanacheza ovyo...si mmeona nafasi walizozichezea leo

Kwa upande wa mou,sub zake sijui anatumia cricteria gani?,sikuona kama kulikuwa na haja ya kufanya hata sub moja..unamtoa lingard unamwingiza Herrera timu yenyewe ipo pungufu..unamtoa martial unamwingiza Rashford na anaendelea na upumbavu wake..unamtoa mata,mchezaji aliyekuwa ameonyesha hari ya kushinda unamwingiza mhikitaryan..pathetic

Waingereza wanakwambia Rashford kama kylian mbappe..huyu dogo kwa ujinga anaofanyaga ni mchezaji wa akiba tena awe anacheza carabao cup..eti new ronaldo in old trafford,,,upuuzi kabisa

Martial atleast kidogo kuliko rashford,ila na yeye ni mchezaji wa kawaida sana...

Hivi shaw kweli ni wakukua bench?
 
Daaah hawa jamaa wangejua jinsi tunavoumia mashabiki wasingefanya upuuzi huu,, nitazid wakumbuka sir alex farguson, edwin van de sir langoni rio ferdinand, nemanja vidic , patrice evra , raphael da silva , michael carrick, paulo shule, ryan giggs , ronaldo , carlos tevez, wayne rooney, louis saha dah jamaa walikua kweli watu wa kazi ,,, mourinho anaharibu pia timu yetu aende tu aje hata giggs unajua soka ni molare wale madogo akina rashford lingard yan pana takataka nying sna pale man u akina darmian akina smalling mikhi ni kuuza tu team haina spirit kabisaaaaaaaa

mkuu huyu herrera umeisahau kazi yake msimu uliopita? aliyemuharibu huyu jamaa ni mou,hao wengine takwimu zitaongea
 
Mkuu belo nakubaliona na ww vizur ila leo kocha wetu kachemka hata kukemea wachezaj hamna martial limekosa goli linacheka daaaa roy kean angelala nae mbele leo ungesikika mlio kwenye vyumba vya kibadilishia nguo rashford toka ile mech ya city anajiona star sema lingard siwez kumlaum anajitahid sana pasipotokea mtu wa kumsimamia rashford itakuwa story kapoteza nafas tatu za wazi peke yake ingekuwa lukaku ungeona mayoe yake.
Huyu anachezea MUFC kibahati tu.. Atolewe kwa mkopo akakue kwanza.
IMG_20171224_022610.jpg
 
Hivi scouting ya Manchester iliyokuwa chini ya ndugu yake Sir Alex Ferguson makali yake yamepotelea wapi??

Tunahusishwa na wachezaji Wa hivyo hovyo.
Ahahaaaaaaaaaaah...
Kama Rashford ni mchezaji mzuri,Pulisic hawezi kuwa mchezaji wa ovyo..!
 
Salam!! Wakuu

Kwanza,,,,

Niwatakie Merry Christmass and Happy New Year(2018)
Mashabiki wote wa Manchester United na Soka kiujumla..

Imeumiza sana hii hasa kwa kipindi hiki
The Citzens washabeba ndoo tayari...

Since the retirement of SAF
Tumejaribu kujenga utamaduni wa wenzetu,,,
Kwamba "Next Season" hili halina ubishi,,,,

Kuna kitu kina shida OT..
Either Josee au Avarage Players,,
Mpira wa sasa unahitaji wanaume wa mpira angalau ubebe Silverware...

Lakini najiuliza,, hivi Special Juan,, Pogba,, Mkhi,, Herrera,, Martial,, Matic,, Lukaku,, na wengineo timu inapitia tunayopitia?? Ukimtoa Silva,, Kun na KDB pale Etihad waliobaki wote wameongezeka kimpira,, kwetu kuna nn??

NB: Sisemi Josee ana shida,, ila kwa nn timu ikose muunganiko ?? Nan anabeba lawama?? Ninachokiamini kila mwanadamu ana highs na lows huenda nae ypo katika lows kwa kipindi hiki,, tumvumilie ila mabadiliko pia yanahitajika...

Kocha yeyote mwenye resources kushindwa kutoa kinachotazamiwa huwezi ukabaki salama,,
Congrats PG

Sorry Josee
Sorry Omog
Sorry Zizzou

@GGMU
 
Yes chief, sasa nimekubali. Yaani Shitty wapoteze 4 games and a draw?! It is Shitty’s title now! Labda sijui wa-collapse vipi!!
Ahahaaaaaaaaaaah...
Kombe ni la Manure Utd mkuu...
Wala usikate tamaa..!
Man City ataanza kudondosha points muda si mrefu..!
Don't lose hope Manure fans..!!!
Ahahaaaaaaaaaaah...
 
Hivi hii timu huwaga wanaenda training kweli?? Tangu nimekua shabiki wa united sijawahi kuacha mechi na filimbi haijapiga Ila leo nimetoka dah... Nimetukana njia nzima hapa naogopa ban tu ila nina hasira sana...
Ahahaaaaaaaaaaah...
Mchezaji mmoja wa Man Utd,muda mwingi anautumia kwenda saloon,kuliko mazoezini..!
Guess who..!
 
Mourinho ameanza kuwalaumu wachezaji wake...
Itakua vyema kama wachezaji hawatorespond kwa namna mbaya..!
 
Mourinho ameanza kuwalaumu wachezaji wake...
Itakua vyema kama wachezaji hawatorespond kwa namna mbaya..!

manchester united ni timu iliyojengwa kwa misingi imara sio timu iliyozuka kwa pesa za mafuta hayo mambo yapo vi timu vidogo wangefanya hayo kwa van gal wala moyes na hawajawah kumsema kocha yoyote kama wafanyavyo wachezaji wa vi timu vidogo pale ni respect.
 
Back
Top Bottom