Unaangalia kweli mpira ama unasoma commentaries tu za watu humu? Hizo clear chances zilikuwa kabla ya jamaa kutolewa! Martial’s, Lingard’s?Against ten men unapoteza 3clear chance
Baada ya kufunguka ndio tunatengeneza nafasi lakini mwanzo tulikuwa tunacheza nyuma ya mpiraUnamlaumu kocha wakati wachezaji wanapata clear chance wanashindwa kufunga
Nakuunga mkono wengi wamepewa sifa siozaoSome players wanachezea United lakini hawana kabisa DNA ya Manchester United
Nafkiri umeelewa nlichosemaUnaangalia mechi gani ?