Ujanja ujanja ndiyo sifa ya José, binafsi sijawahi kumkubali José kama kocha mzuri. Ila ni mjanja mjanja kweli; na it has paid for him.Mourinho aache kufundisha mpira waujanja ujanjaa ujanjaa awaache wachezaji wewe free kiuchezaji
Hii mechi kama atukupata ushindi nitamlaumu sana Mourinho. Tunakamata counter attack nyingi lakini utakuna anakimbia mchezaji mmoja wengine wanarudi nyuma kukaba nafasi![]()
![]()
![]()
Wachezaji hawafungui vyumba...
I hope not.Duh hizi chance tutakuja zijutia sana
Unamlaumu kocha wakati wachezaji wanapata clear chance wanashindwa kufungaHii mechi kama atukupata ushindi nitamlaumu sana Mourinho. Tunakamata counter attack nyingi lakini utakuna anakimbia mchezaji mmoja wengine wanarudi nyuma kukaba nafasi
Asante Mata, Mata 2



Unaangalia mechi gani ?Mou ameamua kuzuia tu pamoja na kwamba leceister ni pungufu![]()