Acha kubisha wwUnaangalia kweli mpira ama unasoma commentaries tu za watu humu? Hizo clear chances zilikuwa kabla ya jamaa kutolewa! Martial’s, Lingard’s?
Kwani tulivyoshindwa kushinda ulidhani mchezo!Duh nilijua tuuu.... 2-2
Yaani hii mechi tunashindwa kushinda
Huwezi kumlaumu kocha hii game Martial,Lingard,Rashford wamekosa magoli ya wazi.Lini umeona City wanakosa nafasi kama hizi?Nafkiri umeelewa nlichosema
Hahahah...Siangalii tena man milele pumbafu
Pole chief...mnahitaji Timu zingine kumsimamisha Opponent wenu hamna namna....Leo namlaumu Jose, poor tactics. Mna one man advantage, halafu unaacha timu iliyo pungufu ikae na mpira!!
Yes chief, sasa nimekubali. Yaani Shitty wapoteze 4 games and a draw?! It is Shitty’s title now! Labda sijui wa-collapse vipi!!2 points Droped....13 points to CHASE NOW
Nani anapaswa kuwafanya wachezaji wacheze kwa morali ???? Acheni kumkimbiza Mwalimu kwenye allegations zake....Watu wanamlaumu sana kocha but wachezaji wengi wanacheza chini ya kiwango na wanacheza wameridhika kuvaa jezi ya Manchester United lakini wanashindwa kuipigania