RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,790
- 129,603
Akitoka Martial akiingia Rashford game tunaimaliza mapema.Leo sijui kwanini nina amani sana, mechi tunashinda hii
Akitoka Martial akiingia Rashford game tunaimaliza mapema.Leo sijui kwanini nina amani sana, mechi tunashinda hii
Wachezaji morale ipo down saana.Hivi ni mimi tu naona Man Utd wanacheza kama wako mazoezini?
Akitoka Martial akiingia Rashford game tunaimaliza mapema.
Martial anaremba,Lukaku anasubiri cross yeye anakata viuno. Magoli mawili aliyofunga Lukaku mechi mbili za mwisho zilikuwa cross bila kuremba.Yah atakua anaamsha amsha kule mbele, japo Martial nae so far hajafanya vibaya.. uwepo wake unamdhibiti sana Simpson asipande mbele.
Nahisi lukaku apimzike aingie rashford katikati.Yah atakua anaamsha amsha kule mbele, japo Martial nae so far hajafanya vibaya.. uwepo wake unamdhibiti sana Simpson asipande mbele.
Haiwezekani. Rashford sio centre foward, sub yake ni MartialNahisi lukaku apimzike aingie rashford katikati.
Tusipoondoka na 3pts ni uzembe wetu wa hali ya juu. Game tumeikamata wachezaji hawako serious.Yaan leo sijui kama tutaondoka na 3points
Mbona alisha kuwa anacheza sikumbuki ni kipindi cha nani.Haiwezekani. Rashford sio centre foward, sub yake ni Martial
I see three points.Yaan leo sijui kama tutaondoka na 3points
Mourinho aache kufundisha mpira waujanja ujanjaa ujanjaa awaache wachezaji wewe free kiuchezaji