Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku leo kawatengenezea nafasi mbili lakini wao kumtengenezea hakuna Mourinho tafuta wachezaji wanaofanana na Maselo au Hazard na Sanchez ili tumlaumu vizuri Lukaku
Leo lukaku hajalaumiwa.
 
Wachezaji wanapokosa magoli ya wazi kama yale kocha anatakiwa afanye nini ?

Siziongelei missed chances! Naongelea tactics alizowapa wachezaji baada ya City kuwa na mtu pungufu. United ikawaachia City wachezee mpira, badala ya United kumiliki mpira ili kumaliza game. Wachezaji walipunguza spidi ya mashambulizi. Uliona ile ya Rashford alipoacha kutoa pasi kwa Lukaku na Mikhi ambao walikuwa wapo wao tu?!?

Ingawa nimemsikia José akitumia maneno joke na childish kuelezea performance ya timu!
 
Huyu ndio takataka kabisa..hajawahi kucheza tukashinda.
Dah! Aisee, hata kama unachuki na Mikhi, lakini mzee acha fiksi!! Yaani Mikhi hajawahi kuwa kwenye lineup ya United iliyoshinda game hata moja?!?
 
Nilijua tu chelsea akipotea na mourinho anapotea hapa tukutane mwakani timu kiuhalisia waonatakiwa kuivaa jezi ni wawili tu de gea na matic wengine wanacheza kama wanalazimishwa tu

Rashford kavimba kichwa sana viingereza shida sana
Kumbe umeliona hilo?? Sasa pale ilikua counter attack kapewa pasi akasimama anarudisha mpira nyuma. Yani dah leo nimeumia sana hii game watu 10 kweli halikuonekana hata pengo..
 
Hebu tumuweke Mou pembeni, tuangalie magoli waliyokosa wachezaji wenyewe maanake Mou hawezi kuingia uwanjani kufunga.

Herrera alikuwa anaenda wapi mkuu? Smaling kaumia rojo yupo bench anazuia had watu 10 leo kaniacha hoi mno!!!!? Ukiangalia goli la kusawazisha smalling kashindwa kuruka yy ndo mtu w mwisho tayar alishaumia

Hapa mourinho kachemka leo tukubali leicester walishakufa mapema nkajua akimtoa lingard ataingia mkhitaryan looo kamtia mkabaj
 
Nilijua tu chelsea akipotea na mourinho anapotea hapa tukutane mwakani timu kiuhalisia waonatakiwa kuivaa jezi ni wawili tu de gea na matic wengine wanacheza kama wanalazimishwa tu

Rashford kavimba kichwa sana viingereza shida sana

Kuna rashford kuna lingard. Watoto kilasiku hawapati game maturity

Lingard ni mzuri kwa counters. But tukiwa tuna posses hawez kucheza.

Lingard alitakiwa acheze swansea huko.

Is an average player.
 
Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
 
Lukaku leo kawatengenezea nafasi mbili lakini wao kumtengenezea hakuna Mourinho tafuta wachezaji wanaofanana na Maselo au Hazard na Sanchez ili tumlaumu vizuri Lukaku
Hao wachezaji uliowataja wakiwa chini ya Mou huonekana si kitu.. Yeye anatazama mwili na minguvu tu!
 
Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
Hili la kwapa likitokea ndo dunia inaweza kuwa imefika mwisho,kwa mpira huu hamna hicho kitu.
 
Herrera alikuwa anaenda wapi mkuu? Smaling kaumia rojo yupo bench anazuia had watu 10 leo kaniacha hoi mno!!!!? Ukiangalia goli la kusawazisha smalling kashindwa kuruka yy ndo mtu w mwisho tayar alishaumia

Hapa mourinho kachemka leo tukubali leicester walishakufa mapema nkajua akimtoa lingard ataingia mkhitaryan looo kamtia mkabaj
Ukumbuke wakati Smalling anaumia, sub zilikuwa zimeisha. Maana waliingizwa sub wachezaji watatu(Rashford, Mikky pamoja na Herera).
 
Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
Nani anapaswa kuweka morali kwa wachezaji ???

Tuanzie hapo kwanza
 
Ni mechi ngapi umeshinda goli tano msimu huu, au unadhani hayo ni maandazi.

Acheni mpira na matokeo ya mdomoni huo ndio uwezo Wetu ....

Utakuwa ni football elite Wa kwanza duniani kutrnganisha performance ya team na uwezo Wa kocha.....

Amini nakwambia Mourinho Poor tactics ndio Adui namba moja Wa Manchester kufanya vibaya msimu huu... Kacheki Game ya uefa tuliyofungwa, team inapack basi mno.

Njoo kwenye game ya Bristol city same tactics.

Bado hatujapata coach Mwenye kuingia kwenye DNA ya Manchester united...

mie kuanzia leo pia simuungi mkono mou na mambo anayoyafanya hadi atakapobadilika.
uwezo wa timu yetu umeshuka sana na ukilinganisha na msimu uliopita. fear factor kwa wapi
Kwa mwendo huu ninaanza kuona dalili wakina Glazer watakuja kufanya "maamuzi magumu"

binafsi nawasapoti kwa watakachokiamua,mou amekosa mbinu. wenzetu hata wakifungwa shabiki unasimama unawapigia makofi kwa walichokionesha,sisi mtu unaangalia mpira roho juu kisa unasubiri counter attack. kila game wachezaji wale wale na sub zake zinatabirika sana,that means jamaa anafanya business as usual toka game moja kwenda nyingine,
 
Mou na wachezaji wake wote hovyo kabisa hataki kubadilika mfumo wa kupaki basi siku hizi haututaki au wachezaji waliopo hawauwezi, ndo mana kila tukipaki tunafungwa kashidwa arsenal tu sababu ni kibonde sana nae wahedi .
Na hio UEFA tutoke tu maana tunaweza kutoka na aibu ya karne huko.
 
Back
Top Bottom