ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Sijaona logic ya kumuingiza herrera katika hii mechiHuwezi kumlaumu kocha hii game Martial,Lingard,Rashford wamekosa magoli ya wazi.Lini umeona City wanakosa nafasi kama hizi?
Sijaona logic ya kumuingiza herrera katika hii mechiHuwezi kumlaumu kocha hii game Martial,Lingard,Rashford wamekosa magoli ya wazi.Lini umeona City wanakosa nafasi kama hizi?
Hapana mkuu. Leo timu ilikuwa very creative but wasteful. Wachezaji wenyewe wamekosa nafasi kibao za kumaliza hii mechi.teh! teh! mou tuachie timu yetu wachezaji hawako creative kabisa
nitaendelea kumpinga huyu jamaa its better atuachie timu
10 mens still wanarudisha goal hakuna ubunifu wowote
usiku mwema wapendwa
Wachezaji wanapokosa magoli ya wazi kama yale kocha anatakiwa afanye nini ?Leo namlaumu Jose, poor tactics. Mna one man advantage, halafu unaacha timu iliyo pungufu ikae na mpira!!
Mourinyo anastahili kulaumiwa bwana. Goli limetokana na staili yetu ya kukaba.Huwezi kumlaumu kocha hii game Martial,Lingard,Rashford wamekosa magoli ya wazi.Lini umeona City wanakosa nafasi kama hizi?
Ndio maana nikasema amepack bus fala huyoLeo namlaumu Jose, poor tactics. Mna one man advantage, halafu unaacha timu iliyo pungufu ikae na mpira!!
Alipomtoa Lingard (striker) na kumwingiza Herrera (mid fielder) nikajua tu ameamua kulinda kagoli pamoja. INA kamerudi sasa.Nani anapaswa kuwafanya wachezaji wacheze kwa morali ???? Acheni kumkimbiza Mwalimu kwenye allegations zake....
Mourinho ni Kanjanja anapokutana na upstair coaches, kwa mbinu zake sioni kama atampiku Guardiola.... Haiwezekani Uko mbele 2-1 na advantage ya red card unashindwa kumaliza game.
Tatizo la Manchester United Ni kocha Kubali kataa
Game ilikuwa ya kushinda goli 5 hili goli la pili lisingekuwa tatizoMourinyo anastahili kulaumiwa bwana. Goli limetokana na staili yetu ya kukaba.
Tulikuwa kama tupepaki basi flani hivi.
Aggggghr.....!Game ilikuwa ya kushinda goli 5 hili goli la pili lisingekuwa tatizo
Wenger upo?2 points Droped....13 points to CHASE NOW
Sijui kwa nn hachezi shaw mechi za kipuuzi kama hiziAshley young kukaba hawez au?? Anakaba kwa macho