radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
Kocha leo kaingia chaka hilo halikwepek huyu lindelof kamzid nn shaw? Leo nlikiwa namfuatilia yy tu achana na matokeo sijaona hata pasi moja aliyopiga ikamfikia mlengwa kwa usahihi
Huyu shaw mpeleke kwa guadiola uone shughuli yake.
Mata ana haki ya kumpoteza mkhitaryan halina ubishi.

