Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gary Neville admitted he couldn’t believe Chris Smalling was allowed to re-enter the pitch moments before Harry Maguire rescued a draw for Leicester against Manchester United.
 
yani kama mikosi ivi akifungwa chelsea na sie tunafungwa akisuluhu na sie tunasuluhu yani huyo ndio tunaendana nae yule anaeongoza ligi hatuna hata mpango nae wa kumfukuzia
Man City hana mpinzani.
 
25551820_1804130602992754_144124013621153262_n.jpg

dogo kaifanya christmas iwe chungu tamu
Chungu tamu kisa barca au
 
Mata celebrated his brilliant effort in the 60th minute with a prayer symbol – fulfilling a promise he made to a group of children from the OSCAR Foundation who travelled from Mumbai to visit him at Old Trafford back in October.

Speaking to MUTV after the game, the Spaniard explained his celebration: “It was because when the kids from the OSCAR Foundation that we work with for Common Goal came to Old Trafford to visit me, they asked if I could do this kind of celebration for them.

“For the first goal, I didn't do it because we needed another goal but, for the second one, I thought about them and this goal was dedicated to those kids in Mumbai.”

Screenshot_2017-12-24-10-55-17.png
 


Kuna rashford kuna lingard. Watoto kilasiku hawapati game maturity

Lingard ni mzuri kwa counters. But tukiwa tuna posses hawez kucheza.

Lingard alitakiwa acheze swansea huko.

Is an average player.
Halafu ni kama wanafanya utani,unaona anakosa goli la wazi halafu anakenua meno. Hata Macheda hakuwa na utoto wa hivi.
 
Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
Tumebaki na competitions 3, UEFA, EPL na FA. Sioni sehem tunanyanyua kwapa this season hapo. Truth be said..

Mourinho ni mpumbavu, hii defensive ideology yake inai cost team Sana, this time around Utd ikiongoza goli moja baasi inawaza kulinda tuu.

Imagine Jana, 1 goal n 1 man advantage then tunashindwa kumaliza game. Pathetic..
 
Ukumbuke wakati Smalling anaumia, sub zilikuwa zimeisha. Maana waliingizwa sub wachezaji watatu(Rashford, Mikky pamoja na Herera).
Hakukua na maana ya sub ya Herera, game bado ilikua open tuu. Sema kamuingiza jamaa ili team ilinde hilo goli moja, kitu ambacho night nonsense
 
Hamna kocha tuna msimamizi wa mazoezi na lingard hana mpango kazi kuonyesha style za ushangaliaji...
 
manchester united ni timu iliyojengwa kwa misingi imara sio timu iliyozuka kwa pesa za mafuta hayo mambo yapo vi timu vidogo wangefanya hayo kwa van gal wala moyes na hawajawah kumsema kocha yoyote kama wafanyavyo wachezaji wa vi timu vidogo pale ni respect.
Ahahaaaaaaaaaaah...
Sawa Chief..!
Screenshot_2017-12-24-15-37-01.png
 
Daah mamaee mechi ya jana. Sikuamini kuona mou anamwingiza herrera. Yani sikuamini kabisa. Mourinho daah!!!?
 
Back
Top Bottom