Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1509207606687.jpg
 
Mkuu sikatai kwamba Lukaku ni mzuri, ila kama ukiangalia hata stats zake hafanyi vizuri kwenye game kubwa sasa kuelekea game za last 16 champions league jamaa inabidi abadilike maana tutakuwa tunakutana na timu kubwa ambazo ukiangalia striker wao kiwango kipo juu kidogo zaidi ya Lukaku.
Football is teamwork sports unlike boxing or golf. Only Messi & CR7 ndio wanaweza kufanya hicho unachotaka Lukaku akifanye

Sio lazima Lukaku ndio aipe ushindi kila mechi angalia Man City wana wachezaji wafungaji zaidi ya 7 (Aguero,Jesus,Sane,Sterling,Fernandinho,Otamendi,KDB,Silva).Hata enzi za SAF kuna game kina Fletcher,Oshea,Macheda,Keane ndio wanaipa ushindi timu

Angalia contribution ya defenders wa Chelsea kwenye magoli misimu ambayo wamechukua ubingwa
 
Football is teamwork sports unlike boxing or golf. Only Messi & CR7 ndio wanaweza kufanya hicho unachotaka Lukaku akifanye

Sio lazima Lukaku ndio aipe ushindi kila mechi angalia Man City wana wachezaji wafungaji zaidi ya 7 (Aguero,Jesus,Sane,Sterling,Fernandinho,Otamendi,KDB,Silva).Hata enzi za SAF kuna game kina Fletcher,Oshea,Macheda,Keane ndio wanaipa ushindi timu

Angalia contribution ya defenders wa Chelsea kwenye magoli misimu ambayo wamechukua ubingwa
Sijakataa ila nazani utakumbuka mara ngapi pia Rooney,Van nistelrooy, etc walitutoa kwenye mechi pale mambo yalipokuwa hayaendi mie napenda Lukaku awe striker tishio.
 
Kweli nimeeleweka au umenielewa?

Hebu niambie hii picha ilikuwa na umuhimu gani kuwekwa hapa???

Ila una haki yako na jukwaa ni lenu..wacha nirudi kwetu nikashangilie kaushindi ketu. Tukutane Jumapili wadau na mapicha picha yenu yasiyo na kichwa wala miguu.

ONYO: kama huwezi kuweka picha zenye maelezo na za muhimu, usije kwetu! [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]
ha ha mkuu wengine tunainjoi kuona mapicha picha yasio na maelezo toka kwa fildi masho RUTTA
 
Kweli nimeeleweka au umenielewa?

Hebu niambie hii picha ilikuwa na umuhimu gani kuwekwa hapa???

Ila una haki yako na jukwaa ni lenu..wacha nirudi kwetu nikashangilie kaushindi ketu. Tukutane Jumapili wadau na mapicha picha yenu yasiyo na kichwa wala miguu.

ONYO: kama huwezi kuweka picha zenye maelezo na za muhimu, usije kwetu! [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]
 
Unajua watu wanamuonea wivu ruta. Sidhan kama mapicha ni hoja. Ruta ana likes nyingi, hapo ndio wivu ulipo. Mambo ya kijinga
Mkuu sio wivu kwa hiyo tumuonee wivu Ruta kwa ajili ya likes anazopata kweli...????
Shida yetu kwake anaijua ndo maana kila mtu anaiongelea na wala sio hizo likes unazosema wewe.
 
natafuta mechi ambayo lukaku kacheza vibaya siioni, yani siku asipoonekana lukaku ujue haletewi tu mipira ila jamaa anajitahidi sana tena sana.

ana goli 7 na assist 3 mechi 10 za ligi, hapo ni wastani wa contribution moja ya goli kila mechi.

mshabiki wa Man U anaemponda lukaku huwa simuelewi kabisa.
Jukwaa limevamiwa na watoto ambao wanataka waone man utd inacheza na kila timu kama ilivyocheza na everton au west ham. Lukaku msimu huu kahusika na magoli kumi.
Mechi iliopita ndio kapiga cross Rashford akafunga,jana katoa assist Martial kamalizia.
Nafasi nzuri aliopata kagongesha mwamba. Half chance ingine kipa kaokoa sijui wanaosema Lukaku mbovu wanatumia vigezo gani?
Wengine wanasema tumu imepaki bus ukiangalia stats wanachoongea hakina ukweli wowote, ila wanataka timu icheze na timu kubwa kama inavyocheza na west ham hivi.
Liverpool wanajidai wanajua kushambulia wamepigwa 4-1 na spurs, 5-1 na city je mnapenda man utd wajiachie wapigwe 5?!
Mechi ambazo Mou atapaki bus iliobaki ni moja tu vs man city away. Lakini vs chelsea tunaenda nao mguu kwa mguu, arrsenal tunaenda nao mguu kwa mguu.
Kila mechi ina uxito tofauti na approach tofauti.
 
Tunarudi pale pale game formation ya United inamsaidia sana Lukaku kuliko Rashford na Martial.....Rashford anambio sana ila hawezi kulead attacking kutokana hana nguvu ya kuhold mpira na ukija kwa martial yupo vizuri kwenye 1v1 na finishing. Na pia ndio maana Rashford anaanza ili kuwachosha mabeki na kupiga cross kwa Lukaku na Martial anapoingia mabeki wamechoka na anaweza 1v1 inakuwa rahisi yeye au Lukaku kufunga kutokana beki wanakuwa wanamkaba kwa wingi na kumuacha au kumpa nafasi Lukaku.Hii unaweza kuona kwa kuangalia magoli mengi ya Utd yanafungwa kipindi gani.
Akifika 50 itakuwa heri ila mie akipiga 5+ kwa top six na UEFA nitafurahi sana.
lukaku ndio analead attack hivyo ni lazima mfumo umfaidishe yeye hilo sio jambo la ajabu,

na pia kina martial wanafaidika, sababu angekuwa striker ni Ibra ambae hana movement wote wangekuwa ni ovyo kama msimu uliopita, stats zao za msimu huu ni way better kuliko msimu uliopita.

mkuu bado naendelea kutolea mfano goli la jana, angalia lukaku wakati anatoa ile pasi anakabwa na nani na nani, kuna wachezaji kama watatu hapa, wawili ninao waona vizuri ni Aurrier na huyu namba 4 yaani Toby Alderweireld, hivyo tayari kisiki kimoja lukaku amekivuta nje ya box sababu ya movement zake then alivyotoa pasi martial alibaki na Vertonghen tu, huu ndo msaada wa lukaku kwa kina martial na Rashford.

Na watu walisema Lukaku Ataflop mechi kubwa mpaka sasa ameshacheza mechi 3
-amewafunga madrid
-ya liverpool hakufunga
-assist ya spurs.

pia wakasema ataflop UEFA mpaka sasa ana goli 3 mechi 3

Naona Online wengi wanaandika stats za kupika za Lukaku against top teams.
 
Mkuu jamaa anachosisitiza ni kwamba duniani Mou anajulikana kwa defensive game plan,ni kama ambavyo Pep anajulikana kwa attacking game plan.Sasa bodi ya UTD imempa mkataba Mou na inajua kwamba atakuwa anacheza hivyo ila ilimradi anafikia malengo ya club.
Pia mpira umebadilika duniani,labda hata SAF angebadilika kutokana na mazingira.Nadhani unaona kilichompata dinosour kwa kugoma kubadilika.
Pep na Wenger wanatumia possession based approach. Attacking/pressing ni approach ya Poche na Klop.

Hata hivyo falsafa km hizi huwa ni za vilabu, kocha hupaswa kufit humo.

United toka hata enzi za Fergie, tupo kati, pressing na defensive. Rejea mechi ya Uefa tuliyocheza fainali Urusi dhidi ya Chelsea, possession ilikuwa 75/25

Kuna Mechi ya Uefa pia tuliwahi kumfunga Barca kimoja, akiwa na possession ya 79/21.
 
Back
Top Bottom