class75
Member
- Sep 11, 2017
- 72
- 138
Unakumbuka Chelsea alichukua nayo ubingwa..?? Mbna ilikuwa inapaki bus hadi mechi ndogo? Mourinho ana hesabu zake kichwaniMkuu malengo nn km co ubingwa ? Unavyojihami kwenye game kubwa ukapata point 1 badala ya 3 wakat city unaikimbizananea anasaka 3 kokote kule unategemea nn ? Lbd km malengo ya bodi ni kuwa kwenye top 4 !!!
City kaanza vizur lakin mambo yanabadilika itafika kipind ataanza kupteza hizo tatu na yeye mkuu.....