Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo wavamiaji hatuwaoni humu roho zinawauma sana ila nilichokigundua herrera hawaendani na matic jana kawa sambamba na tuanzebe kacheza vizur mno
Hadi kwa muda huu najivunia kuona vijana toka academy yetu wakicheza na wakubwa

Hii itawapa nguvu wakina angel gomez kukaza wakiona wenzao wanapata nafasi.
 
FB_IMG_1508907891334.jpg
 
Mkuu ni kweli hata mimi nimejaribubkuliona hilo harera na matic hakuna combination nzuri ila suala linakuja kwa muda huu felaini na pogba wapo majeruhi kwa timu kama spurs kweli kijana tuanzebe anaweza akahimili mikiki mikiki ya spurs???
 
Back
Top Bottom