Bonge ya swali Mkuu,,huwa najiuliza mpaka kesho ni nini kilitokea mpaka kumtema di maria

Imeshaanza dakika ya tatu sasa.Game SAA ngap kwan
Mkuu kama inawezekana kunipatia link ya kucheki hii game hebu nifanyie wepesi.Imeshaanza dakika ya tatu sasa.
Mikhi ana mbio na nguvu kuliko Mata. Skills debatableMtu angeweza kunitolea huyo Mkhitaryan hapo akamuweka Mata ningekuwa na uhakika sana na hii mechi.
Three backs plus two wing-backsTuna mabeki watano..
Hata Mimi nahitaji link ya kucheck hii mechiMkuu kama inawezekana kunipatia link ya kucheki hii game hebu nifanyie wepesi.
Sawa mkuu,hata hivyo ndio nafasi zao kiasili!Three backs plus two wing-backs
Naturally A. Young and A Valencia are wingers.Sawa mkuu,hata hivyo ndio nafasi zao kiasili!