Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ifike kipind uelewe falsafa ya kocha anayefundisha timu yako... Kupaki basi ni mbinu take ambayo ameitumia kwa mda mrefu na imempa mafanikio na bodi ilivompa kazi ilijua hayo...
Na co kwa man cty tu subri kuona anapaki hadi kwa crystal palace ngoja mda ufike
Muhimu point tatu
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Point 3 angechukua za za huddersfield ila ht 1 ilimshinda ! Halaf ucjafanye unaijua sn man 2lioizoea man 2mezoea timu kushambulia
 
Mourinho: "Some people speak too much. Relax a little bit, don't speak too much... Relax, relax, relax."
 
Attachments

  • IMG-20171028-WA0044.jpg
    IMG-20171028-WA0044.jpg
    40.3 KB · Views: 49
Ht ww utakuwa unafaida na alieajiriwa....ucpangie wa2 chakuongea au kushabikia unachopenda ww
Mkuu jamaa anachosisitiza ni kwamba duniani Mou anajulikana kwa defensive game plan,ni kama ambavyo Pep anajulikana kwa attacking game plan.Sasa bodi ya UTD imempa mkataba Mou na inajua kwamba atakuwa anacheza hivyo ila ilimradi anafikia malengo ya club.
Pia mpira umebadilika duniani,labda hata SAF angebadilika kutokana na mazingira.Nadhani unaona kilichompata dinosour kwa kugoma kubadilika.
 
Rashford anacheza winger na Lukaku anacheza kama straiker.

Lakini Rashford kwangu ni mchezaji muhimu zaidi ya Lukaku..m

Nahisi tunapaswa kutafuta mbadala wa lukaku...

Kama lukaku hawezi kuperform vizuri , lazima tuwe na mbadala wake.
 
Kocha huyu ni mjanja MNO, huwa anaifanya tu ikae nyuma muda mwingi huku akisubiria mashambulizi ya kustukiza
 
Rashford anacheza winger na Lukaku anacheza kama straiker.

Lakini Rashford kwangu ni mchezaji muhimu zaidi ya Lukaku..m

Nahisi tunapaswa kutafuta mbadala wa lukaku...

Kama lukaku hawezi kuperform vizuri , lazima tuwe na mbadala wake.
Mbadala wa Lukaku yupo.....anaitwa Zlatan
 
Mzee baba ongeza mapicha picha....binaadamu wanafiki sana kuna kipindi RUTASHUBANYUMA alihamia katika uzi wa Likes humu watu wakaanza kusema mara uzi upo kimya nk..
Hayo mapicha picha ndiyo aina ya mchango wake kama wengine kazi yao kuqoute matusi tu nk
Hahaha umenikumbusha kunakipindi watu walimuhitaji arudi.

Hawa Ndio binadamu bwana..!! Wakati mwingine wanakupenda wakati mwingine wanakuchukia.
 
I know but again Ibra has more experience than Lukaku, There is no world class strikers in the market at the moment.
 
Mkuu malengo nn km co ubingwa ? Unavyojihami kwenye game kubwa ukapata point 1 badala ya 3 wakat city unaikimbizananea anasaka 3 kokote kule unategemea nn ? Lbd km malengo ya bodi ni kuwa kwenye top 4 !!!
 
Mkuu jamaa anachosisitiza ni kwamba duniani Mou anajulikana kwa defensive game plan,ni kama ambavyo Pep anajulikana kwa attacking game plan.Sasa bodi ya UTD imempa mkataba Mou na inajua kwamba atakuwa anacheza hivyo ila ilimradi anafikia malengo ya club.
Pia mpira umebadilika duniani,labda hata SAF angebadilika kutokana na mazingira.Nadhani unaona kilichompata dinosour kwa kugoma kubadilika.
Bra umuelewesh wew mkuu...
Kila kocha Ana falsafa yake na tumeamua kumfuata mourinho.. Tena mashabiki walipiga kelele sana kuwa aje ingawa walijua ni mpaki bus..
Kafika wanataka acheze Kama pep!!
 
Mkuu malengo nn km co ubingwa ? Unavyojihami kwenye game kubwa ukapata point 1 badala ya 3 wakat city unaikimbizananea anasaka 3 kokote kule unategemea nn ? Lbd km malengo ya bodi ni kuwa kwenye top 4 !!!
Kaka kuna kitu kinaitwa strategies kwenye kupambana, Mou anajua kuchukua ligi sio mechi moja au mbili yeye anajihamia kwa sasa ila itafika kipindi City atapoteza mechi zake na kutoka suluhu, suala ni kuwa na point nyingi pia kumbuka kwamba kwasasa ligi sio top four tena ila top six.
 
Back
Top Bottom