Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Madrid, Barcelona,Juve,Bayern nadhani zinajulikana.....na sasa PSG wanajaribu
Benzema,Suarez,Higuain,Lewandowski msimu huu wote wanastrugle so far Lukaku amefanya vizuri sana United game ya Huddersfield alitoa assist kwa Rashford na leo katoa assist kwa Martial kwenye EPL so far ana magoli 7 na assist 3, kwa sasa United haitengenezi nafasi nyingi sana ukilinganisha na hizo timu so muda mwingi anabaki peke yake mbele ni rahisi sana kukabwa na mabeki kwa msimu huu so far Cavani na Aguero ndio best strikers in Europe but kumbuka Cavani anacheza na Neymar,Mbape na Di Maria while Aguero anacheza na Sane,Silva,KDB +Walker ambaye ni mzuri sana kwenye kushambulia
 
Rashford anacheza winger na Lukaku anacheza kama straiker.

Lakini Rashford kwangu ni mchezaji muhimu zaidi ya Lukaku..m

Nahisi tunapaswa kutafuta mbadala wa lukaku...

Kama lukaku hawezi kuperform vizuri , lazima tuwe na mbadala wake.
Kwa jinsi tulivyocheza kutokea game ya soton hadi leo huwez kumlaumu Lukaku ndo maana hata micky hapaform kabisa,tunakaba sana afu tunategemea longballs ziwafikie lukamba au rashidi.So umuhimu wa lukaku kwetu ni mkubwa sana na mda si mrefu utaona umuhimu wake.
 
José Mourinho:

"I felt from minute one, every ball was the last ball of their careers. I'm proud of my players."
 
Martial: “I don’t want to be on the bench but Rashford plays good as well. When the manager gives us a chance we must score & assist.”
 
Goli la leo unajua nani kaassit??
natafuta mechi ambayo lukaku kacheza vibaya siioni, yani siku asipoonekana lukaku ujue haletewi tu mipira ila jamaa anajitahidi sana tena sana.

ana goli 7 na assist 3 mechi 10 za ligi, hapo ni wastani wa contribution moja ya goli kila mechi.

mshabiki wa Man U anaemponda lukaku huwa simuelewi kabisa.
 
Benzema,Suarez,Higuain,Lewandowski msimu huu wote wanastrugle so far Lukaku amefanya vizuri sana United game ya Huddersfield alitoa assist kwa Rashford na leo katoa assist kwa Martial kwenye EPL so far ana magoli 7 na assist 3, kwa sasa United haitengenezi nafasi nyingi sana ukilinganisha na hizo timu so muda mwingi anabaki peke yake mbele ni rahisi sana kukabwa na mabeki kwa msimu huu so far Cavani na Aguero ndio best strikers in Europe but kumbuka Cavani anacheza na Neymar,Mbape na Di Maria while Aguero anacheza na Sane,Silva,KDB +Walker ambaye ni mzuri sana kwenye kushambulia
Mkuu sikatai kwamba Lukaku ni mzuri, ila kama ukiangalia hata stats zake hafanyi vizuri kwenye game kubwa sasa kuelekea game za last 16 champions league jamaa inabidi abadilike maana tutakuwa tunakutana na timu kubwa ambazo ukiangalia striker wao kiwango kipo juu kidogo zaidi ya Lukaku.
 
natafuta mechi ambayo lukaku kacheza vibaya siioni, yani siku asipoonekana lukaku ujue haletewi tu mipira ila jamaa anajitahidi sana tena sana.

ana goli 7 na assist 3 mechi 10 za ligi, hapo ni wastani wa contribution moja ya goli kila mechi.

mshabiki wa Man U anaemponda lukaku huwa simuelewi kabisa.
I second that mkuu,sioni kabisa kosa la lukaku kwa jinsi tunavyocheza huwez mlaumu lukaku. Kuanzia game ya soton tuko very defensive na kutegemea longballs kwa foward zetu,build up ya attack ni sifuri kabisa ndo maana hata micky anaflop number 10, mbona game za mwanzo tumetengeneza mashambulizi watu wameshine.
 
natafuta mechi ambayo lukaku kacheza vibaya siioni, yani siku asipoonekana lukaku ujue haletewi tu mipira ila jamaa anajitahidi sana tena sana.

ana goli 7 na assist 3 mechi 10 za ligi, hapo ni wastani wa contribution moja ya goli kila mechi.

mshabiki wa Man U anaemponda lukaku huwa simuelewi kabisa.
Sio kama tunamponda ila tunasema kwamba ukiwa striker wa club kubwa kama united unatakiwa uwe na uwezo binafsi kidogo wa kuibeba timu au kubadilisha matokeo, ila mpaka sasa naona Lukaku anafunga magoli ambayo Striker yeyote wa Epl anaweza kufunga akilishwa. Inabidi ajitahidi kuonyesha uwezo binafsi hasa kwenye mechi kubwa ndio maana hata kwenye media wanamsema kwamba hana ile wow factor hasa game kubwa.
 
Mkuu sikatai kwamba Lukaku ni mzuri, ila kama ukiangalia hata stats zake hafanyi vizuri kwenye game kubwa sasa kuelekea game za last 16 champions league jamaa inabidi abadilike maana tutakuwa tunakutana na timu kubwa ambazo ukiangalia striker wao kiwango kipo juu kidogo zaidi ya Lukaku.
Zlatan will be back by January so round of 16 UCL we have Backup
 
Nategemea arudi ili tuanze kufanya rotation kama City, pia nataka Lukaku afanikiwe pale UTD hatujapata striker mweusi kitambo natakaarudishe enzi za Cole na Yorke.
 
Mie naona Mikh anajitahidi kwa nafasi yake ila anashuka sana na anashidwa kupanda kwa haraka,ila naamini viungo wetu wakirudi tutamuona Mikh akirudi kwenye ubora.
Najua Lukaku ni style anayocheza ila sasa hivi defense nyingi zimemjua kwamba hajui chenga na ukiwa unacheza na timu kubwa zinajua weakness yako inakuwa ngumu sana kufunga.Leo Mou alijua kwamba Eriksen ndio uti wa mgongo wa spurs na tulimficha kweli kufanya spurs wawatumie Winks na Aurier kufanya mashambulizi.
Lukaku inabidi kubadilika kama anataka kuongoza attack ya timu kama Utd,naomba tuangalie strikers wa elite teams in europe halafu tumsimamishe na Lukaku.
hao strikers wa elite team sidhani kuna hata mmoja unaweza linganisha kichwa chake na lukaku

cavani, higuain, mertens,icardi, falcao, benzema, suarez, aguero, morata, lacazete, firmino, aubameyang, lewandoski etc hawa wote hawana quality za lukaku zaidi yake, yaani
-mbio
-nguvu
-kupiga vichwa

lukaku ana weakness zake kama kutojua kupiga chenga, first touch mbovu ila linapokuja suala la hayo matatu niliokutajia juu jamaa ni world best.

msimu huu tumeweza kufaidi mbio zake sababu zinatengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake mbele, zile movement zake zinafanya rashford na martial wafunge sana, Ibra hana hizi movement hivyo zilitu cost sana msimu uliopita.

jambo ambalo hatujalitumia sana kwa lukaku ni kichwa chake na sababu kubwa hatuna mawinga aka wapiga cross, ila akija winga january au msimu ujao basi tegemea lukaku kuwa tishio zaidi.

leo umeona assist ya goli la martial jinsi anavyojua kutumia kichwa chake, martial alikuwa anahojiwa baada ya mechi amesema hivi

""The manager told me to find the space and I know Lukaku is good with his head."

hivyo martial anaingia tayari amebet na kichwa cha lukaku ndio maana ukaona ile timing yake ilikuwa ni perfect.

lukaku ana weakness zake ila kwangu mimi ni best striker ligi ya uingereza kwa sasa, hasa kwa timu yetu.
 
Sio kama tunamponda ila tunasema kwamba ukiwa striker wa club kubwa kama united unatakiwa uwe na uwezo binafsi kidogo wa kuibeba timu au kubadilisha matokeo, ila mpaka sasa naona Lukaku anafunga magoli ambayo Striker yeyote wa Epl anaweza kufunga akilishwa. Inabidi ajitahidi kuonyesha uwezo binafsi hasa kwenye mechi kubwa ndio maana hata kwenye media wanamsema kwamba hana ile wow factor hasa game kubwa.
sorry nimesha ku quote hapo juu nairudia tena hapa.

ile assist ya Lukaku ya kichwa leo mechi ngumu ambayo inaisha 0-0 kutoa pasi kama ile unairate vipi? sababu kwangu mimi naona kama ndio contribution.
 
hao strikers wa elite team sidhani kuna hata mmoja unaweza linganisha kichwa chake na lukaku

cavani, higuain, mertens,icardi, falcao, benzema, suarez, aguero, morata, lacazete, firmino, aubameyang, lewandoski etc hawa wote hawana quality za lukaku zaidi yake, yaani
-mbio
-nguvu
-kupiga vichwa

lukaku ana weakness zake kama kutojua kupiga chenga, first touch mbovu ila linapokuja suala la hayo matatu niliokutajia juu jamaa ni world best.

msimu huu tumeweza kufaidi mbio zake sababu zinatengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake mbele, zile movement zake zinafanya rashford na martial wafunge sana, Ibra hana hizi movement hivyo zilitu cost sana msimu uliopita.

jambo ambalo hatujalitumia sana kwa lukaku ni kichwa chake na sababu kubwa hatuna mawinga aka wapiga cross, ila akija winga january au msimu ujao basi tegemea lukaku kuwa tishio zaidi.

leo umeona assist ya goli la martial jinsi anavyojua kutumia kichwa chake, martial alikuwa anahojiwa baada ya mechi amesema hivi

""The manager told me to find the space and I know Lukaku is good with his head."

hivyo martial anaingia tayari amebet na kichwa cha lukaku ndio maana ukaona ile timing yake ilikuwa ni perfect.

lukaku ana weakness zake ila kwangu mimi ni best striker ligi ya uingereza kwa sasa, hasa kwa timu yetu.

Hapo ndio ninapopenda makocha wa hizi timu .....huwa wanafanya video analysis ya wachezaji wa timu pinzani kabla ya mechi. Hivyo huwasaidia wachezaji wao kujua weakness na strength za kila mchezaji sasa kwenye game plan yao wanapanga kikosi kutokana na hivyo.
Leo tumeona Mou alivyomwambia Herrera acheze na Eriksen hivyo Spurs imeshindwa kushambulia ila back four yao ilifanya makosa ya kutommark Martial.
Tukicheza na timu kubwa back four wanajua kudeal na Lukaku na hawata ruhusu strength zake kwenye match, sasa strike kama Lukaku ni rahisi sana kukabika hasa man to man. Subiria mechi ya Chelsea utaona watakavyo deal na Lukaku na mid yetu tuombe Mungu Pogba na Fella wawe fit.
 
sorry nimesha ku quote hapo juu nairudia tena hapa.

ile assist ya Lukaku ya kichwa leo mechi ngumu ambayo inaisha 0-0 kutoa pasi kama ile unairate vipi? sababu kwangu mimi naona kama ndio contribution.
Mkuu mie na rate Lukaku juu tu ila ile predicted play yake ndio tatizo namuona anacheza kama valencia, angekuwa anaweza kucheza bila kujua atafanya nini next Valencia angekuwa balaa. Hili tatizo la Lukaku alikua nalo Kane ila naona msimu huu ameimprove kiasi.
 
mkuu usisahau tuna martial/Rashford ambao wana quality ambazo lukaku hana hizo unazozitaja wewe, hivyo patnership yao inacomplete attacking force.

unafkiri ni viwango vya martial na Rash vimekua au ni impact ya lukaku ndio inasababisha hawa watoto wawili wafunge sana? sababu baina yao wamefanya contribution 21 za goli, goli 12 na assist 9 kama sijakosea na ndio kwanza hata msimu haujafika nusu, trend ikiendelea wanaweza fikisha hata 50.
 
Tunarudi pale pale game formation ya United inamsaidia sana Lukaku kuliko Rashford na Martial.....Rashford anambio sana ila hawezi kulead attacking kutokana hana nguvu ya kuhold mpira na ukija kwa martial yupo vizuri kwenye 1v1 na finishing. Na pia ndio maana Rashford anaanza ili kuwachosha mabeki na kupiga cross kwa Lukaku na Martial anapoingia mabeki wamechoka na anaweza 1v1 inakuwa rahisi yeye au Lukaku kufunga kutokana beki wanakuwa wanamkaba kwa wingi na kumuacha au kumpa nafasi Lukaku.Hii unaweza kuona kwa kuangalia magoli mengi ya Utd yanafungwa kipindi gani.
Akifika 50 itakuwa heri ila mie akipiga 5+ kwa top six na UEFA nitafurahi sana.
 
With all due respect chifu, ina maana you are better than Josè and all the coaching staffs at Carrington? Wewe unatumia base gani ku-question formation na uchezaji wa timu na wachezaji? Josè na benchi lake wapo na wachezaji muda wote na mazoezini. Hivyo kinachotokea uwanjani kimeshakuwa simulated at least hata kwa asilimia kadhaa!

Wewe unatumia nini kujadili formation?
 
Back
Top Bottom