Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kaka punguza hisia kwenye ushabiki...... unajua kwanini Lukaku amenunuliwa na kwa bei hiyo?, unajua kwanini strikers wanakuja EPL huwa wanapata shida msimu wa kwanza?

City anazidiwa uwezo kwenye ulinzi na Utd, ila uwezo mkubwa wa city upo kwenye middle ambao wengi ni creative kwahiyo wana attack sana na wapo clinical.
Utd haina viungo creative timu yetu ilikua imemzunguka Pogba na pia Matic aliletwa kumsaidia Pogba ili tuwe tuna attack...... ndio maana 4g ilitawala.

Fanya utafiti kidogo nikitulia ntakuja kukupa darasa kwa sasa nipo kwenye simu.
Man city amefungwa goals 4 kwenye ligi na sisi tumefungwa goals 4...sasa hapo kaka utaniambia kuwa sisi tuna back line nzuri kushinda city?
 
FB_IMG_1508732136440.jpg


Hawa jamaa wakirud kila kitu kitakuwa sawa
 
Man city amefungwa goals 4 kwenye ligi na sisi tumefungwa goals 4...sasa hapo kaka utaniambia kuwa sisi tuna back line nzuri kushinda city?
man utd ana clean sheet nyingi, kati ya hizo goli 4 amefungwa mechi mbili tu, hivyo clean sheet 7, wakati city wana clean sheet 6 kama sijakosea. hio ni advantage.
 
Man utd has won 10 games draw 2 games and loose 1 this season halafu mnakuja mnaanza kuongea ongea embu kuweni na adabu kwa wakubwa zenu.
 
Victor anamsindikiza mtu mpaka anatupia badala amchape kiatu hata akipewa kadi watu watajipanga..

Magoli yote ya jana ni uzembe wa Victor,angekuwa Bailly au Rojo wasingeweza kuvumilia ule ujinga..

Goli la kwanza atalaumiwa Mata lakini bado Victor alikuwa na uwezo wa kuzuia!

Goli Kwanzaa mkuu MI namlaumu Herrera na matic hapakuwepo kiungo WA ku cover beki yetu wote walipanda mbele Sana
 
Jamaa kasahau key player wote majeruh sijui wakirud wakina pogba,bailly,rojo na fellain atasimamia wap kwa mjuz wa mambo bailly,pogba na fellain pamoja na rojo wakirud tayar timu itakuwa kwenye ubora hauna kiungo wa kukaa na mipira unategemea nn
Kwaio man u haitashinda mpaqa hao majeruhi waponee mquu..
 
Saturday was United 150th loss in PL era:

Other clubs current loss stats:
Tottenham: 316
Man City: 255
Liverpool: 242
Chelsea: 208
Arsenal: 193
 
United inamzidi City uwezo kwenye ulinzi?Mkuu naomba ufafanuzi kidogo hapo
Mkuu timu yetu ina defenders wengi kuzidi City, United (10) vs (08) City ingawa City ana kikosi cha defenders ghali zaidi ya united wakiongoza na Mendy.
Mou anasifika kwa philosophy zake kuwa "Defensive football "na Pep anasifika kwa "Attacking football", ukiangalia statistic za Epl utaona United ana cleansheet nyingi na pia City ana magoli mengi pia magoli mengi ya United yamefungwa dakika 15 za mwisho ambapo anaruhusu timu kushambulia.
Pia ukiangalia defender wa city kwa mmoja mmoja kwenye stats wanazidiwa uwezo na defender wa united, ila kikubwa ni kwamba timu yetu inaweza sana kudefend kutokana na kocha ila kama timu pia haifungi ni tatizo. Mfano mzuri ni Liverpool wao wanaweza sana attacking lakini wanatatizo kwenye striker na defence,ila timu kwa ujumla wake inashambulia.
 
Man city amefungwa goals 4 kwenye ligi na sisi tumefungwa goals 4...sasa hapo kaka utaniambia kuwa sisi tuna back line nzuri kushinda city?
Mkuu, angalia stat utaona sie tuna cleansheet nyingi kuzidi city pia stats ya back line yetu ipo poa,team strategy yetu ipo defensive zaidi kuliko attacking. Ukingalia kuna kipindi team inakuwa na ball possesion kubwa lakini shot on target ni chache, ila team kama City, Chelsea na Spurs wapo vizuri attacking.
 
Back
Top Bottom