Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

With all due respect chifu, ina maana you are better than Josè and all the coaching staffs at Carrington? Wewe unatumia base gani ku-question formation na uchezaji wa timu na wachezaji? Josè na benchi lake wapo na wachezaji muda wote na mazoezini. Hivyo kinachotokea uwanjani kimeshakuwa simulated at least hata kwa asilimia kadhaa!

Wewe unatumia nini kujadili formation?
I dont question Jose ability ila mie nasifu ability yake kupata matokeo na kile alichonanacho na pia yeye ameshasema kwamba anahitaji wachezaji flani na pia Lukaku anamchezesha anavyomchezesha kutokana na hana mbadala wake kwa sasa.
Pia hili la formation ya timu mbona lipo wazi kuna makocha na wadau mbali huwa wanaongelea makosa ya timu na uchezaji kila baada ya mechi.Sidhani kama kuongelea mapungufu ya mchezaji flani ni kumnyima sifa zake, hili suala lipo wazi sana kwa kila timu.
 
1509208220227.jpg
 
haya pundits mbalimbali wanafanya analysis kwenye hiyo channel ya Youtube nadhani kidogo maoni yao yana uzito kutokana wanalisha familia zao kwa kufanya hiyo kazi na pia walikua/wapo kama makocha, wachezaji.
 
Back
Top Bottom