Hawa ni shenzi kabisa
Wanakutia ujinga then wanakufundisha namna ya kuwafool wengine(mainly ndugu au watu wa karibu).
Yaani hili no genge la wajinga wanaofundisha wengine ujinga na namna ya kuwapata wajinga wengi.

Nashukuru walinikosa nikawapa za uso nikawapa majibu ya shombo yamejaa puya la banana(mabaharia watanielewa hapa)
 
why hadi mchana mnasalimiana goodmorning?
Sijalizungumzia hili kwenye mada yangu but si vibaya nikakujibu.. Mimi binafsi naitumia salamu hii hadi nikiwa job kwa vile nimekuja kujua umuhimu wake. Nitakupa link kadhaa ujisomee mwenyewe na ninhekuhauri utumie google kujifunza mengi juu ya hili.

Nahisi hutozisom ngoja nikukopie moja kutoka business insider.

IDEAS
8 reasons why you should always say 'good morning' to your coworkers

LINDSAY DODGSON
MAY 1, 2017, 8:08 PM
Whether you’re a morning person or not, there seems to be a universal reluctance to greet people first thing. It’s very unlikely you meet a person who enjoys saying hello to each one of their coworkers with a smile every morning without fail.

If you do know this person, you probably think they’re weird.

However, in a post on the career advice blog Jobacle, Andrew G. Rosen argues that we’re actually missing out by being reluctant to greet each other. He says there are several reasons why you should start the day right, regardless of whether you enjoy the early start or not.

Sam Sommers, a teacher and researcher of social psychology at Tufts University in Medford, Massachusetts, also argues about the power of hello in a blog post on Psychology Today. He writes that research has shown it’s the little things that make a big difference in social interaction. For example, smiling is contagious, and employees who smile more have customers who report higher satisfaction. He recalls one of his students thanking him for taking the time to say hello and talk to the class before beginning his lectures.

Saying hello might feel a little awkward at first, but it is actually appreciated by people more than you might think.

So, here are some of the reasons to give “good morning” a try:

1. It’s basic manners

Let’s be honest, saying hello to people is just a courtesy — one you should have learned at nursery. Greetings should be as basic as “please” and “thank you” in our daily lives, Rosen argues. “These two little words also go a long way towards improving communication and the overall atmosphere,” he says.

2. It humanises coworkers

You spend a lot of your time at work, so why not get to know those around you? Rather than seeing your coworkers as other cogs in the machine, get to know them as people, even if it’s just for a few seconds in the morning. You might like them more than you think.

3. It creates a more democratic environment

If everyone from the bottom all the way up to the CEO says hello to each other, it gives the impression of a more equal workplace where everyone is valued.

4. It’s quick

Even if the idea fills you with dread, saying hello only takes a couple of seconds, at most. If it’s really that painful, it might signal a bigger issue.

5. It’s free

It also won’t cost you anything to give it a try.

6. You might get noticed yourself

Everyone wants to be recognised for the good things we do in our careers. Saying hello to people might get you noticed, and you might then get the recognition you deserve once people actually know who you are.

7. It reduces awkwardness

If you have to talk to someone later on in the day, it is significantly less awkward if you’ve already said hi when they walked in. Better communication leads to better work arrangements, and you might find a whole load of benefits to getting to know people better.

8. You might cheer someone up

Don’t feel so arrogant that you might completely make someone’s day, but we all appreciate a smile and a greeting now and then. This is especially true if we’re having a rubbish day.

Sommers writes that the biggest obstacle people face with trying to form friendships is the fact we assume people aren’t interested. In reality, almost everyone wants to interact with people from all walks of life. Saying hello, Sommers says, is a simple way of starting to break down these barriers.

Nadani unaweza ona ni kwa nini kuna kuwa na watu wakitumia hiyo salamu kwa nyakati zao zote.
Thanks.
 
one fool join another fool to make foolish chain
Hili pia sijaligusia kwenye Uzi wangu but kw siku za usoni nitakua kuzungumzia pia juu ya sababu na kiini cha sintofahamu juu ya Qnet business. Leo elewa hicho tu. Qnet is E commerce system.
 
Hawa ni shenzi kabisa
Wanakutia ujinga then wanakufundisha namna ya kuwafool wengine(mainly ndugu au watu wa karibu).
Yaani hili no genge la wajinga wanaofundisha wengine ujinga na namna ya kuwapata wajinga wengi.

Nashukuru walinikosa nikawapa za uso nikawapa majibu ya shombo yamejaa puya la banana(mabaharia watanielewa hapa)
Umejikita kwenye eneo lipi juu ya Hoja iliyopo kwenye thread? Ni vyema ukaendana na mdundo. Unakuwa hueleweki.
But hata hivyo Ugonjwa ulionao nitakuja kuuzungumzia katika mada za siku za usoni juu ya changamoto zinazowakumba wajasiriamali hasa wanaotumia mfumo huu wa usambazaji.
Thanks.
 
Habari ndugu wasomaji. Naandika UZI huu ili tu kujaribu kushaire kile ninachokifahamu.
Maarifa haya yanatokana na uzoefu wangu na dhana kutoka katika hekima ya vitabu kadhaa ikiwemo pia kutoka kwenye mitazamo ya watu makini kwenye Tasnia husika.
Mada ni QNET as E-commerce;

Ningependa kulist ecommerce platforms maarufu mfano, EBAY, ALIBABA, AMAZON hiyo ni mifano ya ecommerce platforms ambapo mtu anaweza nunua bidhaa yeyote akiwa popote duniani. Dunia imekua kijiji bidhaa yoyote iliyopo popote inaweza nunuliwa na yeyote aliyepo popote duniani na akaipata. Platforms hizi zimeundwa kwa utaalamu mkubwa na hivyo kutoruhusu mianya yeyote ya wizi au ulaghai kati ya wanunuzi na wasambazaji. Ukiwa unatumia mifumo hii kununua bidhaa basi hatua zote za ununuzi hufanywa ndani ya hiyo mifumo hatua kwa hatua.
Hizi ecommerce platforms nyingi zilizopo zimeundwa ili kukutanisha wanunuzi na wasambazaji. Waasisi wa mifumo hii (hiyo niliyoitolea mfano) huwa hawana bidhaa yeyote mule bali bidhaa zote zilizomo mule ni za wasambazaji husika.
Lakini pia zipo E commerce platforms zingine ambazo ni kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu ambapo wanunuzi wake huitumia ili kununua bidhaa hizo.

E commerce platforms imepelekea watu kupata wateja kirahisi na katika wingi usio na kikomo lakini pia imepelekea wanunuzi kuwa na uwezo wa kupata wigo mkubwa wa uchaguzi wa bidhaa watakazo kutoka mahali popote duniani.
Wajasiriamali wa kileo wamerahisishiwa sana kazi zao kutokana na uwepo wa mifumo ya aina hii.

Qnet ni E commerce sytem ambayo ipo kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu (bidhaa za QI company), ni ofauti na platforms zingine ambazo wajasiriamali huweka bidhaa zao humo ili kupata wanunuzi, kwenye QNET huwezi ku upload bidhaa yako.

Kwa kipekee kabisa E commerce platform ya QNET, bidhaa za mule zote huwa zinauzwa na wasambazaji wao tu. Hapa inamaana kampuni ya QNET imetoa haki ya umiliki wa online shop yake kwa 100% kwa wasambazaji wake waliothibitishwa ( IR).

Hii imekaa vipi... ni hivi;
Online shop ni moja dunia nzima ambapo bidhaa hubadilika kutokana na nchi aliyopo mnunuzi.. Lakini kila mnunuzi akiwa anafuata hatua za ununuzi online basi hutakiwa kuweka special Id Number ya IR aliyempa taarifa ya bidhaa za qnet ili afanikiwe kununua la sivyo hatoweza kununua.
Na hawa IRs hulipwa commision zao kupitia online acconts zao mara tu mauzo yakikamilika.

Hivyo QNETni E commerce platform pekee ambayo wajasiriamali wanahaki ya kuuza bidhaa zilizomo dukani na ilihali si zao.
Yaani ni kwamba Mjasiriamali yeyote anaweza kumilikishwa E commerce system with full of products ambapo at any time product inauzika anakuwa akipata faida ya mauzo yale.

Kwa leo nililenga eneo hili tu..
Till next time..
Thanks.
Good morning upcoming billionaire
 
Aisee. Ushawahi kupigwa na yupi Kati ya hao uliowataja hapo ?
Hahaha ni swali zuri sana. Ulilomuuliza mdau. Sijui kama ulikuwa serious ukihutaji jibu but usishangae akaja kukwambia kuwa hajawahi pigwa.
Hapa kuna somo kubwa sana juu ya tabia za watu walio wengi duniani na athati zake katika kuleta mafanikio. Ipo siku nitakuja na UI unaelezea hii hali. BINADAMU WENHI WANAVUTIKA NA TAARIFA HASI na wanaamini kirahisi UZUSHI na MAONI badala ya facts.
 
Ndio ile Salam yetu ilee shenzi kabisaaa
Wala hukuwa na haja ya kutukna But hii comment yako inaleta funzo kubwa sana kuwa ujasiriamali ni ushujaa.. ipo siku nitakuja kuelezea zaidi sifa sahihi anazopaswa awe nazo mjasiriamali. Kwani moja ya sifa hizo ni kuhimili karaha na kejeli ma mizaha kama hii. Hakika watu kama ninyi ni muhimu duniani.
Thanks.
 
Buda acha kutapatapa qnet ni scammers
Habari ndugu wasomaji. Naandika UZI huu ili tu kujaribu kushaire kile ninachokifahamu.
Maarifa haya yanatokana na uzoefu wangu na dhana kutoka katika hekima ya vitabu kadhaa ikiwemo pia kutoka kwenye mitazamo ya watu makini kwenye Tasnia husika.
Mada ni QNET as E-commerce;

Ningependa kulist ecommerce platforms maarufu mfano, EBAY, ALIBABA, AMAZON hiyo ni mifano ya ecommerce platforms ambapo mtu anaweza nunua bidhaa yeyote akiwa popote duniani. Dunia imekua kijiji bidhaa yoyote iliyopo popote inaweza nunuliwa na yeyote aliyepo popote duniani na akaipata. Platforms hizi zimeundwa kwa utaalamu mkubwa na hivyo kutoruhusu mianya yeyote ya wizi au ulaghai kati ya wanunuzi na wasambazaji. Ukiwa unatumia mifumo hii kununua bidhaa basi hatua zote za ununuzi hufanywa ndani ya hiyo mifumo hatua kwa hatua.
Hizi ecommerce platforms nyingi zilizopo zimeundwa ili kukutanisha wanunuzi na wasambazaji. Waasisi wa mifumo hii (hiyo niliyoitolea mfano) huwa hawana bidhaa yeyote mule bali bidhaa zote zilizomo mule ni za wasambazaji husika.
Lakini pia zipo E commerce platforms zingine ambazo ni kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu ambapo wanunuzi wake huitumia ili kununua bidhaa hizo.

E commerce platforms imepelekea watu kupata wateja kirahisi na katika wingi usio na kikomo lakini pia imepelekea wanunuzi kuwa na uwezo wa kupata wigo mkubwa wa uchaguzi wa bidhaa watakazo kutoka mahali popote duniani.
Wajasiriamali wa kileo wamerahisishiwa sana kazi zao kutokana na uwepo wa mifumo ya aina hii.

Qnet ni E commerce sytem ambayo ipo kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu (bidhaa za QI company), ni ofauti na platforms zingine ambazo wajasiriamali huweka bidhaa zao humo ili kupata wanunuzi, kwenye QNET huwezi ku upload bidhaa yako.

Kwa kipekee kabisa E commerce platform ya QNET, bidhaa za mule zote huwa zinauzwa na wasambazaji wao tu. Hapa inamaana kampuni ya QNET imetoa haki ya umiliki wa online shop yake kwa 100% kwa wasambazaji wake waliothibitishwa ( IR).

Hii imekaa vipi... ni hivi;
Online shop ni moja dunia nzima ambapo bidhaa hubadilika kutokana na nchi aliyopo mnunuzi.. Lakini kila mnunuzi akiwa anafuata hatua za ununuzi online basi hutakiwa kuweka special Id Number ya IR aliyempa taarifa ya bidhaa za qnet ili afanikiwe kununua la sivyo hatoweza kununua.
Na hawa IRs hulipwa commision zao kupitia online acconts zao mara tu mauzo yakikamilika.

Hivyo QNETni E commerce platform pekee ambayo wajasiriamali wanahaki ya kuuza bidhaa zilizomo dukani na ilihali si zao.
Yaani ni kwamba Mjasiriamali yeyote anaweza kumilikishwa E commerce system with full of products ambapo at any time product inauzika anakuwa akipata faida ya mauzo yale.

Kwa leo nililenga eneo hili tu..
Till next time..
Thanks.
Bidhaa gani bei ni tofauti na kawahida

Mfano majani ya chai 1,000,000

Kama uliingia qnet iko namna

morning !!!!!
 
Sijalizungumzia hili kwenye mada yangu but si vibaya nikakujibu.. Mimi binafsi naitumia salamu hii hadi nikiwa job kwa vile nimekuja kujua umuhimu wake. Nitakupa link kadhaa ujisomee mwenyewe na ninhekuhauri utumie google kujifunza mengi juu ya hili.

Nahisi hutozisom ngoja nikukopie moja kutoka business insider.

IDEAS
8 reasons why you should always say 'good morning' to your coworkers

LINDSAY DODGSON
MAY 1, 2017, 8:08 PM
Whether you’re a morning person or not, there seems to be a universal reluctance to greet people first thing. It’s very unlikely you meet a person who enjoys saying hello to each one of their coworkers with a smile every morning without fail.

If you do know this person, you probably think they’re weird.

However, in a post on the career advice blog Jobacle, Andrew G. Rosen argues that we’re actually missing out by being reluctant to greet each other. He says there are several reasons why you should start the day right, regardless of whether you enjoy the early start or not.

Sam Sommers, a teacher and researcher of social psychology at Tufts University in Medford, Massachusetts, also argues about the power of hello in a blog post on Psychology Today. He writes that research has shown it’s the little things that make a big difference in social interaction. For example, smiling is contagious, and employees who smile more have customers who report higher satisfaction. He recalls one of his students thanking him for taking the time to say hello and talk to the class before beginning his lectures.

Saying hello might feel a little awkward at first, but it is actually appreciated by people more than you might think.

So, here are some of the reasons to give “good morning” a try:

1. It’s basic manners

Let’s be honest, saying hello to people is just a courtesy — one you should have learned at nursery. Greetings should be as basic as “please” and “thank you” in our daily lives, Rosen argues. “These two little words also go a long way towards improving communication and the overall atmosphere,” he says.

2. It humanises coworkers

You spend a lot of your time at work, so why not get to know those around you? Rather than seeing your coworkers as other cogs in the machine, get to know them as people, even if it’s just for a few seconds in the morning. You might like them more than you think.

3. It creates a more democratic environment

If everyone from the bottom all the way up to the CEO says hello to each other, it gives the impression of a more equal workplace where everyone is valued.

4. It’s quick

Even if the idea fills you with dread, saying hello only takes a couple of seconds, at most. If it’s really that painful, it might signal a bigger issue.

5. It’s free

It also won’t cost you anything to give it a try.

6. You might get noticed yourself

Everyone wants to be recognised for the good things we do in our careers. Saying hello to people might get you noticed, and you might then get the recognition you deserve once people actually know who you are.

7. It reduces awkwardness

If you have to talk to someone later on in the day, it is significantly less awkward if you’ve already said hi when they walked in. Better communication leads to better work arrangements, and you might find a whole load of benefits to getting to know people better.

8. You might cheer someone up

Don’t feel so arrogant that you might completely make someone’s day, but we all appreciate a smile and a greeting now and then. This is especially true if we’re having a rubbish day.

Sommers writes that the biggest obstacle people face with trying to form friendships is the fact we assume people aren’t interested. In reality, almost everyone wants to interact with people from all walks of life. Saying hello, Sommers says, is a simple way of starting to break down these barriers.

Nadani unaweza ona ni kwa nini kuna kuwa na watu wakitumia hiyo salamu kwa nyakati zao zote.
Thanks.
Unajiona umeandiiiiiiika kumbe pumba tupu
 
Buda acha kutapatapa qnet ni scammersBidhaa gani bei ni tofauti na kawahida

Mfano majani ya chai 1,000,000

Kama uliingia qnet iko namna

morning !!!!!
Qnet ni kituo cha mauzo ya bidhaa. Kutohitaji kwako kununua bidhaa fulani kwa umasikini wako kusipelekee kukashifu bidhaa au duka la watu. Yapo magari ya 5mil USD.. (10 billions tsh). Vipi unaweza sema hizo kampuni ni scamm kisa huna pesa?
Bei ya kawaida ni ipi? Au hujui kuwa kun biatu bya milion 100 tsh duniani. W unataka bei ya elfu 30 ya Sinza mori?
Any way ipo siku nitalezea pia hii taharuki kwa mapana yake.
 
Habari ndugu wasomaji. Naandika UZI huu ili tu kujaribu kushaire kile ninachokifahamu.
Maarifa haya yanatokana na uzoefu wangu na dhana kutoka katika hekima ya vitabu kadhaa ikiwemo pia kutoka kwenye mitazamo ya watu makini kwenye Tasnia husika.
Mada ni QNET as E-commerce;

Ningependa kulist ecommerce platforms maarufu mfano, EBAY, ALIBABA, AMAZON hiyo ni mifano ya ecommerce platforms ambapo mtu anaweza nunua bidhaa yeyote akiwa popote duniani. Dunia imekua kijiji bidhaa yoyote iliyopo popote inaweza nunuliwa na yeyote aliyepo popote duniani na akaipata. Platforms hizi zimeundwa kwa utaalamu mkubwa na hivyo kutoruhusu mianya yeyote ya wizi au ulaghai kati ya wanunuzi na wasambazaji. Ukiwa unatumia mifumo hii kununua bidhaa basi hatua zote za ununuzi hufanywa ndani ya hiyo mifumo hatua kwa hatua.
Hizi ecommerce platforms nyingi zilizopo zimeundwa ili kukutanisha wanunuzi na wasambazaji. Waasisi wa mifumo hii (hiyo niliyoitolea mfano) huwa hawana bidhaa yeyote mule bali bidhaa zote zilizomo mule ni za wasambazaji husika.
Lakini pia zipo E commerce platforms zingine ambazo ni kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu ambapo wanunuzi wake huitumia ili kununua bidhaa hizo.

E commerce platforms imepelekea watu kupata wateja kirahisi na katika wingi usio na kikomo lakini pia imepelekea wanunuzi kuwa na uwezo wa kupata wigo mkubwa wa uchaguzi wa bidhaa watakazo kutoka mahali popote duniani.
Wajasiriamali wa kileo wamerahisishiwa sana kazi zao kutokana na uwepo wa mifumo ya aina hii.

Qnet ni E commerce sytem ambayo ipo kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu (bidhaa za QI company), ni ofauti na platforms zingine ambazo wajasiriamali huweka bidhaa zao humo ili kupata wanunuzi, kwenye QNET huwezi ku upload bidhaa yako.

Kwa kipekee kabisa E commerce platform ya QNET, bidhaa za mule zote huwa zinauzwa na wasambazaji wao tu. Hapa inamaana kampuni ya QNET imetoa haki ya umiliki wa online shop yake kwa 100% kwa wasambazaji wake waliothibitishwa ( IR).

Hii imekaa vipi... ni hivi;
Online shop ni moja dunia nzima ambapo bidhaa hubadilika kutokana na nchi aliyopo mnunuzi.. Lakini kila mnunuzi akiwa anafuata hatua za ununuzi online basi hutakiwa kuweka special Id Number ya IR aliyempa taarifa ya bidhaa za qnet ili afanikiwe kununua la sivyo hatoweza kununua.
Na hawa IRs hulipwa commision zao kupitia online acconts zao mara tu mauzo yakikamilika.

Hivyo QNETni E commerce platform pekee ambayo wajasiriamali wanahaki ya kuuza bidhaa zilizomo dukani na ilihali si zao.
Yaani ni kwamba Mjasiriamali yeyote anaweza kumilikishwa E commerce system with full of products ambapo at any time product inauzika anakuwa akipata faida ya mauzo yale.

Kwa leo nililenga eneo hili tu..
Till next time..
Thanks.
Nitajie mtazania mmoja tu aliyetajiri kupitia qnet
 
Mleta mada umeandika maelezo marefuuu, lakini mantiki ni sifuri kabisa. Hauleweki kabisa.
Unasema Qnet in e-commerce platform, sasa ili iweje?
Ni uwendawazimu kujaribu kuilinganisha Ebay(ambayo karibu kila mtu anaijuia na anaweza kuitumia kufanya manunuzi) na Qnet (Pyramide scheme ya kutengeneza mnyororo wa kuvuna pesa za watu kwa ujanja wa maneno ya kushawishi)

Mleta mada nakushauri ufupishe maelezo yako na pia jikite kwenye mantiki.
 
Nitajie mtazania mmoja tu aliyetajiri kupitia qnet
Sijagusia hili pia kwenye Uzi wangu. Wala sifahamu yupi ni yupi. Yawezekana asiwepo au akawepo but lengo langu lilikua kuelezea Qnet ni E commerce system.
But navutiwa sana na nakuja sababu yako ya kupenda kujua mafanikio ya mjasiriamali fulani ni ipi! Usije ukawa kama walio wengi huafuata mkumbo kwenye kufanya maamuzi kwa sababu ya fulani kapata sana kwenye biashara fulani ngoja na mimi nifanye... hii sio dhana sahihi.. ipo siku nitaelezea hii kasumba na athari zake.
Thanks.
 
Back
Top Bottom