briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Gmorning kaka
Gmorning kaka
Huo mjagi wa juice.. Ongeza plz.. Then niwekee na bavaria zangu 0.0% alcohol.Asanteni wote kwa kushiriki kuwania post ya 100K
Pole sana kwa mamluki ambao walijaribu ila hawakuweza (Huu mchezo hauhitaji hasira)
Hongera kwa makapuku wote najua mlijaribu ila Jimena Jimenes ndio kiboko yenu![]()
Lakini kama ilivyo desturi mshindi ni mmoja tu
briz and I tunawakaribisha sana tusherekee record hii ambayo kupatikana kwake ni manufaa kwa makapuku wote.
Peace and love
Cheers
View attachment 395219
View attachment 395220
Karibuni sana tufurahie pamoja.
Leo namleta mtu wa Massage aje hadi kwako kukurelaxisha misuli yako kazi ya jana haikuwa ndogo kama zawadi yako kwangu...nimlete wa kike au wa kiume?? chagua hapo.Asante Ankali
Ubize ulikua ni wa kugombea ile post ya 100k lakin tofauti na hapo spidi inakua ya kawaida tuNiliogopa sana watu walukuwa busy mbaya
Morning CongoleseGoodmorning family, hongera Jimena kwa 100k naona timing hazikuwa predictable maana post kama 50 mbele Watu wanagombania![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Morning mtu wangu wa nguvu!Morng ndugu zangu
Unamluv vipi sasa na wewe??!!!Iron lady mwanamke wa shoka, jike shupavu..lovu uu







Jana nilivutwa sana.....asante sana Jonax umefanikisha figisu figisu zakoMm ntaanza na NAVUTWAAA
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
BWAHAHAAAAAAA
Humu ndani kuna mchawi wangu, jana hivi hivi nilikuwa navutwa shati wakati naikimbiza 100k....na lazma atakuwa Jonax, nimelala kwa mawazo sana! haiwezekani msoc wangu nimeutelekeza ukapoa kwa ajili ya kufukuzia mwisho wa siku nikatoka na Nunge! wajanja mkawa mnatupia herufi moja moja kuitegea! mi naandika tu...mchawi mwingine ni yule Anajiita Nsekwa...alisema nimshike mkono ndio akanipunguza speed...
. Aaaaargh.

Vyema kabisaUbize ulikua ni wa kugombea ile post ya 100k lakin tofauti na hapo spidi inakua ya kawaida tu
We mwache tuCc sweetiepie
Copy that.Hongera kwako himena himenes kwa kutusua.. 100k, una zawad yako nzito, nikitua tu dsm plz fanya mchakato uje ubebe zawad yako kigambon, but PLEASE DNT COME WITH UR TWIN CWT P, ila RUKSA KUJA NA KIPENZI CHAKO MR. BRIZ HIMSELF
Ciao
Usijali mkuu, huwa tunataniana sana tu hapa kila kitu ni kawaida tu hapa pasipo matusi tuPamoja sana Mkuu. I'm sorry

Morng , how are you miss!!?Good morning
Tunda halipo...nalo lilivutwaaaaNakupenda zaidi, tuingie chumbani
Jecha kanifutia matokeo hata ukanipoze na tunda![]()
![]()
![]()




Mie niko mbwinde maporini.. Network ina excute simple harmonic motion(S.H.M)

Miss u tooMc u kichiz ndugu zangu