Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Sa uliogopa nini??Niliogopa sana watu walukuwa busy mbaya
Sa uliogopa nini??Niliogopa sana watu walukuwa busy mbaya
Asante....Huo mjagi wa juice.. Ongeza plz.. Then niwekee na bavaria zangu 0.0% alcohol.

Fanya hivo mkuu.Ngoja nim-amshe atakuja muda sio mrefu
I must confess nimekumiss sana...![]()
... I dnt knw lin tutaonana, mie sipo mjin, nimehama kabsa mji kwa kisanga kile.Goodmorning mkuu nsekwa, yan nikikuona nacheka kwa jinsi ulivyoweweseka na ile spidi ya jana![]()




Nimeamka poa sana...viungo vya mwili vinauma tuwe nae jana ulitia fora aisee, umeamkaje lakin shem lake?

NakujaKaribuni sana jamani hakuna kadi za mualiko![]()
Chaguo lako.. Mobitel, tritel!!?Leo namleta mtu wa Massage aje hadi kwako kukurelaxisha misuli yako kazi ya jana haikuwa ndogo kama zawadi yako kwangu...nimlete wa kike au wa kiume?? chagua hapo.
Siku njema kwako pia!!Nawatakia siku njema wenzangu na mie!
Good morning!Goodmorning people
Good morning shem!!Goodmorning FAMILY!!
Niambie ndugu yangu!!?Morning mtu wangu wa nguvu!
Nimem-quote mwingine imeenda kwingine!!! KF inaitetemesha JFhata post ya 100k inabadilika badilika




Makaveli10 angekuepo karibu angekukandaNimeamka poa sana...viungo vya mwili vinauma tu![]()

Yeah huwa ananikanda asubuhi...leo ntafanyaje sijui...Makaveli10 angekuepo karibu angekukanda![]()
![]()

Hahaa... Vumilia tu, maji ushayavuliaUnamluv vipi sasa na wewe??!!!![]()
pichu.. Lazima utawaze..

Najua si umeenda Tabora...![]()
... I dnt knw lin tutaonana, mie sipo mjin, nimehama kabsa mji kwa kisanga kile.

Chaguo lako.. Mobitel, tritel!!?
Chuchu sound...
