Makapuku Forum

Makapuku Forum

Cc mussolin
1473192488924.jpg
 
Napenda kutoa pole kwa wale wote;

walioweka bando la chuo ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.

Waliokopa vifurushi ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.

waliokesha na kuipania 100k ila wakaikosa.

Waliotangaza kwenye magroup yao Whatsapp kwamba watatusua 100k ila wameikosa.

Waliodhani 100k itafika Kesho au Kesho kutwa kumbe shughuli ilikuwa leoleo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom