EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Asante. Na kwako pia Mkuu.Usiku mwema
Asante. Na kwako pia Mkuu.Usiku mwema
Basi ntasubiri sanaMpaka arudi
Hahah,asante sana mkuuHahaa... Mbona makapuku wa humu hawajafilisika mkuu.. Makapuku safi tu, yao yanawaendea kama kawaida..
Sijataja jina, ila nimekutaja kwa tafsir ya maneno mkuu..
Karbu sana.
Hongera sana madame kwa kufikia 100k.Asanteni wote kwa kushiriki kuwania post ya 100K
Poleni sana kwa mamluki wote ambao walijaribu ila hawakuweza
Hongera kwa makapuku wote najua mlijaribu ila Jimena Jimenes ndio kiboko yenu![]()
Lakini kama ilivyo desturi mshindi ni mmoja tu
briz and I tunawakaribisha sana tusherekee record hii ambayo kupatikana kwake ni manufaa kwa makapuku wote.
Peace and love
Cheers
View attachment 395219
View attachment 395220
Karibuni sana tufurahie pamoja.
Asante sanaHongera sana madame kwa kufikia 100k.
Cc Mrs NavutwaAsante sana
Cc sweetiepie
There you areSure.. Asiye na bahat, habahatiki.
Hivi mbona shida hivi?
100k ni ya nani?
Inasoma mara kwa musolon5
Quigley na jimena!





UwiiiiHahaha...NEC vipi? Lubuva vipi?
Kama vipi nipeni ushindi mimi



Jana nilikuwa nacheka sana hadi nikaulizwa....nkasema makapuku haoKufurahi kama hivi ni sehemu ya maisha
Hakika kapuku tumetisha sana


!!!Hehee utajijuuuu.....povu litakutoka sana mwaka huuKwenda ukoooo![]()
UCHOCHEZIAsanteni wote kwa kushiriki kuwania post ya 100K
Pole sana kwa mamluki ambao walijaribu ila hawakuweza (Huu mchezo hauhitaji hasira)
Hongera kwa makapuku wote najua mlijaribu ila Jimena Jimenes ndio kiboko yenu![]()
Lakini kama ilivyo desturi mshindi ni mmoja tu
briz and I tunawakaribisha sana tusherekee record hii ambayo kupatikana kwake ni manufaa kwa makapuku wote.
Peace and love
Cheers
View attachment 395219
View attachment 395220
Karibuni sana tufurahie pamoja.

Jimena, morning bro

, nimelala kwa mawazo sana! haiwezekani msoc wangu nimeutelekeza ukapoa kwa ajili ya kufukuzia mwisho wa siku nikatoka na Nunge! wajanja mkawa mnatupia herufi moja moja kuitegea! mi naandika tu...mchawi mwingine ni yule Anajiita Nsekwa...alisema nimshike mkono ndio akanipunguza speed...


. Aaaaargh.