makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,901
- 104,146
Aahh.. Wanatetemeka..Nimem-quote mwingine imeenda kwingine!!! KF inaitetemesha JFhata post ya 100k inabadilika badilika
Queen darleen.
Aahh.. Wanatetemeka..Nimem-quote mwingine imeenda kwingine!!! KF inaitetemesha JFhata post ya 100k inabadilika badilika
Jana nilichanganyikiwa sana wewe na Nsekwa sijui Msekwa mlikuwa mnanivuta nyieeeeNavutwaaAA
Hiii comment yako imenichekesha kwek...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



Mimi.Nani huyo kabutua!!!

Mia mia MkuuUsijali mkuu, huwa tunataniana sana tu hapa kila kitu ni kawaida tu hapa pasipo matusi tu![]()
![]()
Morning Genius...![]()
![]()
nilikuwa na feel like
![]()
![]()
![]()
Mi mwenyewe naweza kufanya massage na huwa namfanyia baby wangu, hatuhitaji mtu wa ziada kwa hiloLeo namleta mtu wa Massage aje hadi kwako kukurelaxisha misuli yako kazi ya jana haikuwa ndogo kama zawadi yako kwangu...nimlete wa kike au wa kiume?? chagua hapo.
MweeeeeHongera baby ake mimi.. Tukitoka hapa nikakupongeze vizuri chemba
Leo ntakoma!!!Eti "navutwa" bwahahaaaaa
Aliyekwambia ni nani anayatafuta ushindi namna hiii
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
NAVUTWAAAaa
Kitu cha ajabu, ila cha kufurahisha.Hata mimi huwa nawamiss makapuku japo siwafaham kabisa hata mmoja...yaan interesting, jana nilichelewa kuingia jamvini ila moyo ukauma sana ikabidi niweke bundle niingie..we are like family now.
Walikuroga huko!!!Nimeikosa looh. Huku Sumbawanga maenei ya Mto Kisa njia ya Mtimba hapa network inazingua. Anyway nadhani kwenye 150k sitaikosa.
Poa kaka..Pamoja sana kiongozi
Weka picha tuoneTunda halipo...nalo lilivutwaaaa![]()

Mmhhhhhhh nataka afanyiwe Soft massage na yale mafuta yake nawe unaiweza?Mi mwenyewe naweza kufanya massage na huwa namfanyia baby wangu, hatuhitaji mtu wa ziada kwa hilo
NdioKitu cha ajabu, ila cha kufurahisha.
I am fine!!Morng , how are you miss!!?
Sorry aunt umekosea namba!! Hope mesej c yangu.My love...![]()
Unazungumzia ile professional? Naiweza piaMmhhhhhhh nataka afanyiwe Soft massage na yale mafuta yake nawe unaiweza?
Wewe Nsekwa wewe....una kesi ya kujibuVyema kabisa