Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Good morning Kigli....[emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good morning Kigli....[emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mourning MkuuGoodmorning people
Nini?!!!!! [emoji2][emoji2]Acha mboyoyo
Aksante, na kwako poa kiongoziNawatakia siku njema wenzangu na mie!
My love...[emoji173]Hahaa.. Pole, vumilia tu, lile zee la makimba makubwa ndivyo lilivyo, muone alivyo, maskio kama upawa wa mama ntilie bugurun.
I must confess nimekumiss sana...[emoji17]Hahaa.. Pole, vumilia tu, lile zee la makimba makubwa ndivyo lilivyo, muone alivyo, maskio kama upawa wa mama ntilie bugurun.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani ni utani msikasirike!!
Weweeeeeeeee!!!!![emoji52][emoji52][emoji52]Mrs. Navutwa where are you?
Goodmorning mkuu nsekwa, yan nikikuona nacheka kwa jinsi ulivyoweweseka na ile spidi ya jana [emoji4][emoji4]Goodmorning people
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yani huyo ndiye alikuwa ananivuta sana jana afu ananiita ita nini....[emoji35][emoji35][emoji35]
Diiiii wamekuweka tayari[emoji2]Code zitakuja PM ila mwambie Lubuva akaniweke pale basi
Maana sio kwa usongo huu
Asante sana
[emoji173]Umefananisha wewe, kabutua pacha wake, sio yeye..
Morning chief umeamkaje?Morning to you
Ndio.. Kwani kuna mtoto wa baba au shangazi!!??Mmmh kwahiyo we ni mtoto wa mama??
Niliogopa sana watu walukuwa busy mbayaGoodmorning mkuu nsekwa, yan nikikuona nacheka kwa jinsi ulivyoweweseka na ile spidi ya jana [emoji4][emoji4]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] umechelewa ku-quote nlisha-editKwa hiki Kiswahili, kweli ndio unaamka![emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mi namtumia mtu wa massahe hadi kwake[emoji138][emoji138][emoji138]Zawadi yangu kwako ni mvinyo utakufikia huko uliko
Muhimu unitumie code tu
Pamoja sana Mkuu. I'm sorry[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] umechelewa ku-quote nlisha-edit
CC: JONAXXXXXXX [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napenda kutoa pole kwa wale wote;
walioweka bando la chuo ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
Waliokopa vifurushi ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
waliokesha na kuipania 100k ila wakaikosa.
Waliotangaza kwenye magroup yao Whatsapp kwamba watatusua 100k ila wameikosa.
Waliodhani 100k itafika Kesho au Kesho kutwa kumbe shughuli ilikuwa leoleo.