Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asanteni wote kwa kushiriki kuwania post ya 100K
Pole sana kwa mamluki ambao walijaribu ila hawakuweza (Huu mchezo hauhitaji hasira)
Hongera kwa makapuku wote najua mlijaribu ila Jimena Jimenes ndio kiboko yenu

Lakini kama ilivyo desturi mshindi ni mmoja tu
briz and I tunawakaribisha sana tusherekee record hii ambayo kupatikana kwake ni manufaa kwa makapuku wote.

Peace and love
Cheers
View attachment 395219
View attachment 395220
Karibuni sana tufurahie pamoja.
Huyu chini ya meza mbona kama chui!!
 
Barida wanangu, kifupi nafurah uzi umepa, lengo letu as a family tumefanikisha..

Wengine wasihuzunike saana, ni ishu za kawaida, kila mmoja ni mshindi mpaka hapa tulipofikia, na kila mmoja ana rekod yake ambayo mwingine hawez ipata, mwenye post 89 nae ana rekod yake maana hamna atakayeweza kuivunja hyo.. Much respect kwenu nyote..

Watu fulani ndani ya muda mfup mmeweza kunitoa unyonge nilio nao nakujihisi mpya..

Have you ever missed some1 you have never seen.. Mie katika mara chache hii moja wapo, wakati mwingine najihisi mnyonge hasa kisa nimewamis makapuku wenzangu..

Shululu,jonaz,bitoz,Mussolini 5,werrason,Quigley, jimena,briz,sweetiepie nawapenda sana ndugu zangu, hii inatoka kwenye center kabsa ya moyo wangu..

Heshima kwenu wengine wote mliofanikisha uzi huu umefika hapa kwa namana moja ama nyingine

[HASHTAG]#SALUTE[/HASHTAG]
Hata mimi huwa nawamiss makapuku japo siwafaham kabisa hata mmoja...yaan interesting, jana nilichelewa kuingia jamvini ila moyo ukauma sana ikabidi niweke bundle niingie..we are like family now.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom