shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kikofia yupo SomaliaSasa nitegemee lini jamani??
Kikofia yupo SomaliaSasa nitegemee lini jamani??
Jonax nilikuambiaMmetumia mpango wa kando kupata ubingwa
We pia inaonekana ndo unapata notification now na ndio maana unareply za mwaka janaNmeleta mbwembwe nyingi lakini mmeikosa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Pole sana, lianzishe mpaka asubuhiNmeleta mbwembwe nyingi lakini mmeikosa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mmmh kwahiyo we ni mtoto wa mama??Mie mama kanikataza..![]()
![]()
Itakuwa hivyoMtandao ulikuwa overloaded
Pamoja emmyguyAsante kaka. Tupo pamoja.
Asante mkuu na kwako piaUsiku mwema ndugu zangu.. Kesho nayo siku..
Nawe piaUsiku mwema ndugu zangu.. Kesho nayo siku..
Zote poa kabisaIko njema sana. Za siku vipi?
Pamoja sana Mkuu. Usingizi mwema.Usiku mwema ndugu zangu.. Kesho nayo siku..
Mpaka arudi![]()
![]()
![]()
![]()
kwahiyo mpaka akirudi??
Pamoja sana.Zote poa kabisa
Usiku mwemaPamoja sana.
Usiku mwema na kwako pia ankaliUsiku mwema
Asante sanaAsanteni wote kwa kushiriki kuwania post ya 100K
Poleni sana kwa mamluki wote ambao walijaribu ila hawakuweza
Hongera kwa makapuku wote najua mlijaribu ila Jimena Jimenes ndio kiboko yenu![]()
Lakini kama ilivyo desturi mshindi ni mmoja tu
briz and I tunawakaribisha sana tusherekee record hii ambayo kupatikana kwake ni manufaa kwa makapuku wote.
Peace and love
Cheers
View attachment 395219
View attachment 395220
Karibuni sana tufurahie pamoja.