Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
WoyooooooHakukosea kabsa,,hata kwako najua hajaniangusha,,,kanipatia mtu sahih
Naanzaje kuwaangusha mm
WoyooooooHakukosea kabsa,,hata kwako najua hajaniangusha,,,kanipatia mtu sahih
Unamsaidia kumkojolesha kwenye maziwa na kwenye mapaja sema nyie wanaume hamtavumilia mtatoka tu nje kuchepukaLadies kwa mfano unapata complications kwenye uzazi na unaambiwa usifanye sex for 1 year.
Unamsaidiaje mumeo?
Hana jina huyo naonaKuna mtu namtafuta
Hana jina huyo naona
Niko hapaJamani mkimuona jiwe muambieni kuwa nampa hi!![]()
Sema kweli mkuuUmenichekesha wewe
Hahaha tumosa bwana anawatesa tu watu wanaongea peke yao humu
Mkimuona Mwambien
PoleSamahani maana ya makapuku?? Wengne kiswahili kipo kushoto
Hahahaha acha wivuMasahibu yangu ni kwamba jiwe hataki kuniangalia tena kwenye teuzi zake badala yake mtu mmoja anapata teuzi mbili mbili!!
Hahaha huyo achana nae atakujibu kwa hasira kaninuniaJiwe akilewa anakuja kufanya teuzi!![]()
Ulionyesha utiifu wa hali ya juu sana kwa jiwe kwa hiyo akakupenda mkuu!!
HakikaUnafikili ni kwann jiwe alinipa teuzi mbili mkuu
Siwezi baba wawiliusiseme kwa sauti mkuu atasikia iwe shida tena,,jiwe hachelew kutengua teuzi zake
Wapm modshivi kuruhusiwa kucomment lile jukwaa la great thinkers wanatumia vigezo gani?
Hahahahakitengua itakuwa ni zile teuzi za zamani,hz mpya mpya bado sana mkuu
Hahaha achana naoHahahahaha
Mjomba unantsha sasa
Yes love.
WoyoooooMy baby swty
He he acha tu yaaniHapa hapa Shangazi.
Tumekumiss pia mama..kwani mjomba anabana sana.?