Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Kuna mtu namtafuta
HahahahahaHahahaha
Mie binafsi cjui na wala sihitaji kujua ,nishaanza December, kila MTU kivyake
HahahahaHahahahaha
Upo sawa mkuu,,,naona december umeikaribisha vzr huko
Asalaym alyequm bby!
Wajionaje na hali??
Hakukosea kabsa,,hata kwako najua hajaniangusha,,,kanipatia mtu sahih
HahahahHahahaha
Kawaida kila December kuwa hivi
Cjui nyie makapuku
Huku ni kamshangwe mwanzo mwisho
Shangazi yangu hawez niangusha,maana lawama zote atazibeba yyUmejuaje ni mtu sahihi
Mimi mzima pia,,hofu kwako bibie??Waaleyqum salam habiby alhamdulillah, niko vyema hofu kwako
habari mkuu
hahahaha sawaShangazi yangu hawez niangusha,maana lawama zote atazibeba yy
Mungu ni mwema alhamdulillahMimi mzima pia,,hofu kwako bibie??
Hakika ulikuwa na siku nzuri na yenye kupendeza huko.
Salama mkuu,habar za kwako?
Ha ha hahahahaha sawa



umefrahi eeeehHa ha ha
Nmefurahi kusikia hvyo,,nakusilikiza bibie
Umenichekesha weweBinamu siku hizi unajua kuweka emoj
Eeeh,,,muda wa kulala huu bibieumefrahi eeeeh
mambo!umefrahi eeeeh