Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Wewe ndg umezoea kuumizwanimecheka hadi machozi yametoka
Wewe ndg umezoea kuumizwanimecheka hadi machozi yametoka
Hahhahahha kama wewechenga kabisa wewe
Woyoooooooonilimuomba
Jamanijiwe ni noma
He heMimi jiwe hanipendi kabisa,hataki kunipa hata ubalozi wa nyumba kumikumi!!
HahhahahhaHaya mpnz,kazi kwako sasa
Nzuri shemeji
HahhahahaHahaha sawa shemeji
Acha wivuuu
Acha na jiwe aisee,,hii saprayizi sijawahi iona![]()
Jiwe anaenda kuchukua watu mbali kwa ajili ya teuzi mbalimbalii!![]()
HahahhahaPale jiwe anapohamua kufanya surprise!!![]()
Wewe baba wawili kubaliHeh,,kumbe nataka kufanywa mpango wa kando
Na hatatokeaHakuna kama jiwe!
![]()
Asanteeeeeeeeeyeah mko wawili na yeye anajua ana assistant sasa mwenye kisu kikali ndio alae nyama
ila nilichompendea madam alikubali uteuzi hadi pale nilipotibua mipango yote!
Jiwe ni hatari sana!




Nataka madame,,ukipenda hauoni
Ngoja niongeze juhud,naweza kula nyama hv hv aise
WouzeeeeerrrrWe hutaki??





Hahhahahha ebu uko mniache
Jiwe hatari mkuu,teuzi zake anazijua mwenyew
Safi moud mefurahi kukuona tuNjema mkuu shunie, habari za usiku
Mkuje jamaniii wenye wivuUmewahi kuhisi unaachwa na mtu unayetarajia kumwoa au kuolewa nae? Umewahi kutamani kuwa na 'access' na simu au barua pepe ya mwenzi wako ili angalau ujisikie kutulia moyoni? Umewahi kujisikia vibaya mwenzi wako akizungumza na mtu mwingine hata kama hukuwa na ujasiri wa kumwambia? Umewahi kumchukia mtu na hata kupambana nae kwa siri au wazi sababu tu umehisi anahatarisha uhusiano wako? Kama lolote kati ya hilo linaelezea hali yako, basi makala haya yanakuhusu.
AsanteeeeeWivu usikufanye upambane na mtu asiyehusika. Hasira ni kiburi. Hasira, tunaambiwa haijawahi kutenda haki. Itakugharimu kukarabati mahusiano kwa kuongeza duara la mapambano na mtu wa tatu. Pambana na mwenzi wako kwa kumpa haki yake. Kama una hakika analo tatizo la kuvutwa na vya nje, kabiliana naye abadilike. Tafuteni msaada wa kitaalam kushughulikia mahusiano yenu. Hamna haja ya kupambana na mtu wa tatu ambaye kimsingi mmemkaribisha wenyewe.
Sema kweli princewanakuita jiwe etii