Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,749
- 28,143
Mwenye ngoma ya king monada malwedhe aiweke hapa
poaamambo!
kumekuchaEeeh,,,muda wa kulala huu bibie
HahahaTumsifu Yesu Kristo
Makapuku ,nawatakia jpili njema
Karibuni tuzimue
njema nimeamua kukupandisha cheoMambo vp bibie!
Umeamka salama huko??
HahahahaHahaha
Mkuu umelala kweli aisee
Ewaaah!!sasa hv sio assistant tena?njema nimeamua kukupandisha cheo
HahahahHahahaha
Mwezi wa kula bata huu,kulala ili iweje sasa
Hahahah
Sawa sawa mkuu
Ngoja tutaelewa tu subra mcng!Sielewi chochote
Salama ndg za week end?@kapukuu woteee salaaaamuuu