Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Shikamoo binamuJumatatu Njema Wadau.
Nilikuwa na wikend nzui, asanteni kwa kutouliza ila najiaminisha kuwa kila mmoja alikuwa na wikend ya tofauti na yangu.
Jtatu siulizi kama Kuna Jipya.
Salamu nyingi sana tokea Nangao naelekea Masasi, nikifika nitawaambia