Makapuku Forum

Makapuku Forum

Si mnajua mdau wenu niko kwa road huku South natoka Ntwara naenda Masasi, sasa nimewaza hapa maana nimeona ajali. Nikakumbuka asilimia 22 ya ajali husababishwa na kilevi (DUI) sasa hizi asilimia 78 si husababishwa na wanywa jwisi, soda, fursana, vimto, anjari.
Safari inaendelea, tumevuka hapa Mpowola tuaisaka Njenga, halafu Ndanda kisha nanyooka to Masasi kule aliozaliwa Che BWM, kama kuna mdau yuko Masasi nitakuwa Mkomaindo jioni nitakuwa bar moja maeneo ya sokoni
Huyu anakunywaa juis ya miwa
20181203_123834.jpeg
 
Si mnajua mdau wenu niko kwa road huku South natoka Ntwara naenda Masasi, sasa nimewaza hapa maana nimeona ajali. Nikakumbuka asilimia 22 ya ajali husababishwa na kilevi (DUI) sasa hizi asilimia 78 si husababishwa na wanywa jwisi, soda, fursana, vimto, anjari.
Safari inaendelea, tumevuka hapa Mpowola tuaisaka Njenga, halafu Ndanda kisha nanyooka to Masasi kule aliozaliwa Che BWM, kama kuna mdau yuko Masasi nitakuwa Mkomaindo jioni nitakuwa bar moja maeneo ya sokoni
Wanywa juisi ya Ndimu nao wamo. ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom