Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,743
HahahahaHahahaha
Tatzo jiwe hatabiriki mkuu
Nahofia kusema hapa acha nikae kimya
HahahahaHahahaha
Tatzo jiwe hatabiriki mkuu
kumbe ndio lilikua lengo la huu uzi?Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
[emoji4][emoji4]Kwani mke wa Anko unamwitaje. ,?Kwema binti??habar za jpl
Anko hajambo??
Ndio dua yako hiyo.?Nasikia leo weekend jiwe yupo kwenye ulabu akirudi hapa ni mwendo wa kutengua teuzi tuuuuu!![emoji4][emoji4][emoji4]
ukija utaona nilichopika banaKweli bibie,,,njaa
Umeanda chakula gan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akitengua itakuwa ni zile teuzi za zamani,hz mpya mpya bado sana mkuuNasikia leo weekend jiwe yupo kwenye ulabu akirudi hapa ni mwendo wa kutengua teuzi tuuuuu!![emoji4][emoji4][emoji4]
HahahahahaHahahaha
Nahofia kusema hapa acha nikae kimya
Wanakuja kua na subiramsaada makapuku wenzangu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Shangazi hahaha[emoji4][emoji4]Kwani mke wa Anko unamwitaje. ,?
Sijambo mimi alhamndulillah Anko mzima wa afya(anaoga)
Hbr ya wikiendi,familia na wengineo. ?
Nakuja bibie[emoji125][emoji125]ukija utaona nilichopika bana
nnakusubiriaNakuja bibie[emoji125][emoji125]
Wewe ni mpya au ni ya zamani mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akitengua itakuwa ni zile teuzi za zamani,hz mpya mpya bado sana mkuu
Rafiki dua yangu nipendwe na mke wa mtu, hasa mke wa Lyon Lee![emoji4][emoji4][emoji4]Ndio dua yako hiyo.?
Raha tupu yani, Shangazi Maryam alafu unamalizia na shkamoo [emoji4][emoji4]Shangazi hahaha
Hawajambo pia,wapo tu
sawa my,nipo njianinnakusubiria
mpyaaaWewe ni mpya au ni ya zamani mkuu?
@Lyon Lee. Bby unaitwa na na jirani BehaviouristRafiki dua yangu nipendwe na mke wa mtu, hasa mke wa Lyon Lee![emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji38][emoji38][emoji38]mpyaaa