Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wivu umesababisha watu wasiwe na amani na mahusiano yao. Wivu umesababisha watu wawe na hasira, ghadhabu na uchungu, wakati mwingi, kwa mambo yasiyokuwepo. Wapo waliofikia kugombana na watu wasiohusika kwa sababu tu wanahisi kuingiliwa kwenye mahusiano. Wivu si hisia zinazoweza kuleta faida hata kama wengi tumekuwa tukiamini hivyo.
kama vile unanisema mimi
 
Malezi ndio msingi wa kutokujiamini. Si kazi nyepesi kwa mwenzi aliyekuzwa bila kujiamini kujisikia salama nafsini. Hajiamini na hawaamini wengine. Na hii hujidhihirisha sana kwa watoto wa miaka kati ya mwili na sita. Kwa sababu bado wanakuwa hawajajifunza kushindana, watoto wa umri huu huwa ni wepesi kujisikia kutishwa, threatened mzazi anapomsifia au kumwonesha upendo mtoto mwingine.
Mmh
 
Jumatatu Njema Wadau.

Nilikuwa na wikend nzui, asanteni kwa kutouliza ila najiaminisha kuwa kila mmoja alikuwa na wikend ya tofauti na yangu.
Jtatu siulizi kama Kuna Jipya.

Salamu nyingi sana tokea Nangao naelekea Masasi, nikifika nitawaambia
 
Wewe hutaki faraja umeshazoea kuumizwa mm nakuonea huruma tu mwanaume wako ana wadada wawili anawaita my mbona mm haniiti my nakuonea huruma ndg yangu unavyoteseka mwenyewe hujionei

...kama hakuiti my basi wee muite, usikonde roho bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom