Salaam Lyon Lee,@kapukuu woteee salaaaamuuu
yeah sio msaidizi juhudu zako nimeamua kuungananazoEwaaah!!sasa hv sio assistant tena?
Asante my dear[emoji8][emoji8]yeah sio msaidizi juhudu zako nimeamua kuungananazo
Asante my dear[emoji8][emoji8]
Habar za jipil huko??
Haukuwepo kwenye uteuzi wa jiwe ankolii???Kwani kuna habari gani
Masahibu yangu ni kwamba jiwe hataki kuniangalia tena kwenye teuzi zake badala yake mtu mmoja anapata teuzi mbili mbili!!Habari za jumapili ndugu zangu.
Wote mliofikwa na masahibu kwenye siku hii poleni sana, Mwenyezi Mungu akupeni Subra
hakuna kwa kweliKwani kuna habari gani
hofu yangu n wewe uliembali na macho yanguAsante my dear[emoji8][emoji8]
Habar za jipil huko??
Yeeeeweeeeee kumbe jiwe ashafanyaa yake ?Haukuwepo kwenye uteuzi wa jiwe ankolii???
Naonaa makopaa makopaahakuna kwa kweli
Masahibu yangu ni kwamba jiwe hataki kuniangalia tena kwenye teuzi zake badala yake mtu mmoja anapata teuzi mbili mbili!!
Hahaha sio kweli mkuuMasahibu yangu ni kwamba jiwe hataki kuniangalia tena kwenye teuzi zake badala yake mtu mmoja anapata teuzi mbili mbili!!
Niko salama pia,,,taratbu tunaimalizia weekendhofu yangu n wewe uliembali na macho yangu
Jiwe teuzi zake nyingi weekend,,il j3 kila mtu anakuwa ofsn kwake [emoji23][emoji23]Yeeeeweeeeee kumbe jiwe ashafanyaa yake ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoliiiii jiwe naonaa ashafanyaaa yakee ww nilikwambia mchekii binamu akupe sirii ya mafanikio kwa mganga wake
Jiwe akilewa anakuja kufanya teuzi![emoji123][emoji123][emoji123]Week end njema
Tuendelee Kulewa