Makapuku Forum

Makapuku Forum

Natibu mbavu zilizo tenguliwa

Hahahaha..

December ndio hii ,Makapuku
IMG_20181201_151031.jpeg
 
Hahahaha

primus, Mutzing,Skoll zote kama kawa

December hii ukiona MTU anaenda kazini j3 ,mtumwa huyo ,acha nae ,atakuppotezea muda, Hahahaha

NB : Usiku wa Leo ni Wilder vs Furry,
heavyweight boxing
Hahahahaha

Aiseee,,vp zile prims znapatikana pia?(sina uhakika sina na hilo jina lake??

Kweli aisee,,funga mwaka hii mkuu
 
Hahahaha

primus, Mutzing,Skoll zote kama kawa

December hii ukiona MTU anaenda kazini j3 ,mtumwa huyo ,acha nae ,atakuppotezea muda, Hahahaha

NB : Usiku wa Leo ni Wilder vs Furry,
heavyweight boxing
Hahahaha

Nasikia hzo primus sio za mchezo mchezo,znaweza kukuzngua

Aisee,,huo mpambano kumbe ni leo,,atakayeshinda hapo anakutana na AJ,,ila sema Furry atachakwaza leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom