Makapuku Forum

Makapuku Forum

....mimi nimeenda na mmenilipia hadi ingilishikozi lakini ndugu yenu nimemwaga mchana kweupe, yaani marybaby hakusubiri japo animwage gizani asione ninavyotoa machozi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole binamu,,tunaunda tena tume ya kumrudsha kwako
 
...ni kweli niligonganisha magari ndo maana nikafukuzwa utrafiki polisi, nilikuwa napataga sana hela yaani kila jumamosi na jumapili nilikuwa nashinda bar nakata mvinyo kama samaki baharini nagonganisha meli na boti za Azam
Hahaha binamu bhana,,,umekwepa swali langu
 
...jamani sijalipwa binamu yenu, kuna watu wana nia ovu na mimi wanatangaza nimelipwa. Tulikuwa tunahakikiwa wakulima kwanza kuona kama tuna vyeti, sasa zoezi limeisha tumepewa barua tunasubiri hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom