Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Anadai hapa makapuku mmempa hilo jina,,,ila kama kajiita mwenyew bhasi anafaa sanaNani kasema??Yeye ndiye anajiita hilo jina mwenyewe huko kwa rahaa zake!!
Anadai hapa makapuku mmempa hilo jina,,,ila kama kajiita mwenyew bhasi anafaa sanaNani kasema??Yeye ndiye anajiita hilo jina mwenyewe huko kwa rahaa zake!!
Hii ndiyo teuzi ya kwanza kwa siku ya leo?



jina la jiwe linasadifu kila kituBinamu habar ya uzima
Mimi mzima sana binamu,,tunaikaribsha Furahiday kwa afya njema kabsa,,ni jambo la kumshukuru Mungu....habari ya uzima nzuri binamu, asante kwa kunijulia hali. Nnna imani uko poa kuikaribia Furahiday



Habari za uzima wakuu
Ndio akina nan hao mkuuTaarifa kwa umma:Siku ya leo tarehe 29/11/2018 huko ikulu magogoni jiwe amefanya tenguzi moja ambapo babu mtu chake ametenguliwa nafasi aliyokuwa anashikilia na pia imefanyika teuzi moja ambapo ningendako ameula!![]()
Taarifa kwa umma:Siku ya leo tarehe 29/11/2018 jiwe amefanya tenguzi moja ambapo babu mtu chake ametenguliwa nafasi aliyokuwa anashikilia na pia jiwe amefanya teuzi moja ambapo ningendako ameula!
Hapa kazi tu!
Weee ankaliiii siii umetenguliwaaaMmelala au mmnatumika ?
Weee ankaliiii siii umetenguliwaaa
Mmelala au mmnatumika ?
Mwenzako akinyolewa, za kwako tia maji!Weee ankaliiii siii umetenguliwaaa



Hahahaha
Dah yaani we acha tu,niko hapa najipoza machungu
ili iweje? unapenda kubishana?Msaada mkuu nataka kujiunga na pin ya maswala ya dini, mm ni mkristo
tunatuma!Mmelala au mmnatumika ?